Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Kesi za hivyo huwa hazifungi
 

Mzee wa sonono. Mkuu acha kumchanganya Mama Janeth na mambo yenu ya Usukuma gang
 
Hivi una akili kweli wewe???
Unajua maana ya kuchafuliwa?
Wewe unapaswa kuwa kundi moja na Sukuma gang
 
Hapa tunatolewa kwenye ripoti ya CAG kwa ujanja na mwisho tutaisahau kabsaaa
 
Ikiwezekana membe amlipie akae ndani kenge maji huyu
Upo sahihi. Membe alipe gharama za kumuweka gerezani Musiba na kisha Musiba awekwe ndani atumikie kifungo iwapo atashindwa kulipa fidia.
 
Bora amsamehe tu! Tugange yajayo.
Nafikiri Muda ni malipo tosha!
Ni kweli kusameheana ni jambo jema lakini mtu hasamehewi bila kuomba msamaha na kutubu. Jee Musiba kafanya hivyo?
Huyu hajafanya hivyo, alipaswa kusimama hadharani na kutubu na kuweka wazi nani alikuwa anamtuma, alikuwa anafaidika nini na mategemeo yake yalikuwaje!
 
Inatakiwa afanye Kama mchungaji Msigwa aombe radhi hadharani.
Ile ya Msigwa ni wazi kabisa ilikuwa shambulio la kisiasa lenye habari za uongo zisizo fanyiwa uchunguzi na ndio maana zinasameheka kirahisi na Kinana alijua kuwa akikomaa na kesi ile baada ya hapo hakuna Mwanasiasa atakaye kuwa salama akiwemo yeye mwenyewe.
Lakini Musiba alichokuwa anafanya sio siasa bali ni mashambulio ya udhalilishaji dhidi ya wengine.
 
Aliwapa pressure watu wasio na hatia. Sasa ni wakati wake.

Yawezekana, kwake hata kufa siyo tatizo maana alishabikia sana watu wengine kuuawa.
 
Mh siku 14 hizo hizo wengi wetu ukituambia tubuni biashara from scratch ya kutupa laki 3 ndani ya hizo siku ni umetugea mtihani wa milele ila Musiba ndiyo azalishe 9B?
ndo ajue dhambi ya matusi haiishii hapo tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aisee wale watu zamani walikuwa watu muhimu Sana
Aacha kabsa wale jamaa, nilimwachia saa atengeneze kurudi baada ya wiki mbili ananiambia hana kumbukumbu kama nilimwachia saa, nilimkimbia wa kwanza kwa dasabu kama hizo.
 
Kila ugomvi una gharama zake na hizo ndizo gharama za hao wawili wengine wanasubili akisharipwa tu wafungue tena kesi nyingine.
Naona Kama ninatazama mtu kufungwa zaidi ya miezi sita na kutoka kwa msamaha wa raisi.
 
Hizi product za jiwe zina maovu mengi sana. Rejea Bashite, 7ya, Musiba n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…