Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ikiwezekana membe amlipie akae ndani kenge maji huyuChochote kilichopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwezekana membe amlipie akae ndani kenge maji huyuChochote kilichopo
Uwenda keshajinyongaAtajinyonga huyu...chawa aliropoka mitusi vile alitegemea binadamu m wenzake....
Hata mke wakeChochote kilichopo
Kesi za hivyo huwa hazifungiNafikiri wanatekeleza taratibu za kisheria zinazotakiwa kabla ya bwana musiba kwenda kuziba pengo lililoachwa wazi na Sabaya hujo magerezani.
Baada ya kukamilisha hatua hii, mahakama itaidhinisha utaratibu wa mali za Musiba kupigwa mnada. Itakapoonekana hana mali ya kufikia hiyo thamani atapelekwa gerezani.
Bilioni 9 ni parefu sana. Ingekuwa mikuoni 90, labda wenzake, Makonda na Sabaya wangemchangia. Lakini bilioni 9, ajiandae kisaikolojia kwenda jela.
Funzo zuri sana kwa machawa wa watawala.
Hakuna aliyemtukana, yule aliambiwa ukweli, hata huyo Musiba na Saambaya ni zao la huyo Jiwe.Tunaomba haki itendeke kwa waliomchafua Magufuli pia nae alipwe fidia alitukanwa sana mitandaoni
Wacha wakomoane, ila kuna ya kujifunza na hayo na yale yanayoendelea humu Jamvini. Ipo siku kitaelweka.
Naona kuna ugaidi wa kimtandao unaondelea kutokana na Taarifa hizi. Naona kumetokea mwanya wa wale waliokuwa na "visongo vya usasi" kuendelea kutoa nyongo.
chochote kilichosababisha mapenzi yake au harakati zake za kashfa, inaonekana kwangu, ni mapenzi sawa na wengi hapa.... wanaoendeleza upotoshaji wa chuki na kukashifu kwa kuzingatia amri/taarifa hii
Kinachoonekana, ingawa ni haki, kinaweza kutafutwa na kutumiwa na wengi ambao wamefikia pahali sawa na Membe.
Muda utasema. Hata hivyo, mahakama hazipaswi kutumiwa kama silaha ya kulipiza kisasi
Ipo siku Ugaidi huu wa mtandaoni utaenda kutolewa ushauri,hukumu, na hata amri za kukabiliana nao.
Pole Mama Janeth.
R.I.P mwamba.
Hivi una akili kweli wewe???Kama ni kweli, basi kuna dosari kubwa kwa hawa majaji wetu na sheria zetu. Watu wote ni sawa. Hivyo ndivyo tunavyoamini. Na katiba yetu ya nchi inasema hivyo. Vitabu vitakatifu vinasema hivyo. Hivyo thamani ya Membe na thamani yangu na wewe iko sawa. Hivi ni kweli kwamba mimi na wewe tukichafuliwa kama alivyochafuliwa Membe, tutalipwa hizo Tsh billioni 9 kila mmoja kweli?
Kwangu mimi lipo hili tatizo, pia app yenyewe mpaka ifunguke lazima jasho likutokeHivi hili tatizo la picha kutofunguka humu JF linaitokea mimi tu au na wengine?
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi. Membe alipe gharama za kumuweka gerezani Musiba na kisha Musiba awekwe ndani atumikie kifungo iwapo atashindwa kulipa fidia.Ikiwezekana membe amlipie akae ndani kenge maji huyu
Ni kweli kusameheana ni jambo jema lakini mtu hasamehewi bila kuomba msamaha na kutubu. Jee Musiba kafanya hivyo?Bora amsamehe tu! Tugange yajayo.
Nafikiri Muda ni malipo tosha!
Ile ya Msigwa ni wazi kabisa ilikuwa shambulio la kisiasa lenye habari za uongo zisizo fanyiwa uchunguzi na ndio maana zinasameheka kirahisi na Kinana alijua kuwa akikomaa na kesi ile baada ya hapo hakuna Mwanasiasa atakaye kuwa salama akiwemo yeye mwenyewe.Inatakiwa afanye Kama mchungaji Msigwa aombe radhi hadharani.
Aliwapa pressure watu wasio na hatia. Sasa ni wakati wake.Musiba asipotuaga kwa pressure ataishia kuwa chizi, siku hizi nikiitazama ile sura yake namuona hayuko na amani, moyo wake mzito.
Angefanya atleast public apology angeweza kusamehewa na wale aliowakosea, ili apate amani, kwani nao ni binadamu pia, kuliko kukaa kwake kimya huku akiteketea ndani kwa ndani.
Tumbo ponza kalioDomo ponza kichwa
😂😂😂 Aisee wale watu zamani walikuwa watu muhimu SanaHahaha! Nimecheka kwa sauti, ila fundi saa ni wezi aisee.
ndo ajue dhambi ya matusi haiishii hapo tu.Mh siku 14 hizo hizo wengi wetu ukituambia tubuni biashara from scratch ya kutupa laki 3 ndani ya hizo siku ni umetugea mtihani wa milele ila Musiba ndiyo azalishe 9B?
Aacha kabsa wale jamaa, nilimwachia saa atengeneze kurudi baada ya wiki mbili ananiambia hana kumbukumbu kama nilimwachia saa, nilimkimbia wa kwanza kwa dasabu kama hizo.😂😂😂 Aisee wale watu zamani walikuwa watu muhimu Sana