Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Ana Mali equivalent to that amount?Mahakama imeshakubali ombi la kukazia hukumu. Na asipolipa ndani ya siku kumi na nne mahakama ndio inachukua jukumu la kushikilia Mali zote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana Mali equivalent to that amount?Mahakama imeshakubali ombi la kukazia hukumu. Na asipolipa ndani ya siku kumi na nne mahakama ndio inachukua jukumu la kushikilia Mali zote.
Whatever you call it. Makonda hawakuwahi kaa hata kituo cha polisi. Acha kulala.Mbowe alifungwa lini?. Tofautisha mahabusu na kufungwa kifungo.
Watu walisema hivi hivi kwa Lissu. Hatari sanaMakonda anapapaswa tu siku hizi View attachment 2589353
Sasa hivi ata nauli ya kwenda Kwao Tarime Kusalimia hana. Da kweli Heshimu watu Sponsa Ufariki😭Bado za Fatuma Karume , hakikisheni hakimbii nchi
Askofu Mwamakula ndio aliyetumwa na mtu huyu akamuombee radhi kwa Membe.Mahakama Kuu ya Tanzania imempa siku 14 za kazi mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wenzake watatu kumlipa Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Benard Membe TZS bilioni 9.92 kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vya habari.
View attachment 2588944
Mahakama imetahadharisha deni hilo lilipwe ndani ya muda vinginevyo hatua zaidi zitachukuliwa.
Anazo muache alipe tu, haina shida.Ni matatizo yake ya kujitakia Musiba kutotafuta mwanasheria wa kujitetea na kudharau mahakama, ata kama imetumika vibaya.
Ukisikiliza maelezo ya decision kwenye kesi ya defamation aliyofungua Nehemia kuna justification ya award alizopewa on loss of business, other income na kupeteza trustworthiness kama mfanyabiashara vitu alivyoelezea mahakamani. Sasa kama kweli alikuwa na huo ushahidi wa MoU wa hasara alizodai kupoteza ni swala lingine. Ila decision ina justification kwa kesi aliyofungua.
Mahakama aiwezi jiropokea tu umlipe mtu kiasi gani cha fidia, inatakiwa kuwe na ushahidi wa loss of income za kibiashara au kwa ma celebrities ni damage ya brand zao ambazo ndio msingi wa kupata kazi na hela.
Sasa ata kama kweli Musiba alimchafua Membe kuna justification gani ya kumlipa damages za tsh 9 billion, hizo hasara Membe alizopata ni zipi zenye kufikia hiyo thamani au Membe ni brand yenye thamani ipi kama superstar.
Ni decision ya uonevu kwa Musiba, ila ujinga zaidi ni yeye kudharau mahakama toka anaitwa na kukaa kimya ata decision ilipotolewa; huko sasa ndio kujitakia.
Acha aendelee kukaza fuvu.Jamaa baadala ya kuomba radhi hadharani, kaanza kuchangisha watu fedha. Sasa wanamsubiria waone Kama bilioni tisa itafika ndani ya wiki mbili.
Chokochoko kazianza zamani sana huyu, acha apambane na hali yake.Magazeti yake yalikua yanawatuhumu watu kwa ushoga, nakumbuka kuna jarida moja aliandika kwa herufi kubwa,"SHOGA AWACHANGANYA MAALIM SEIF NA ZITTO ",Halafu katikati ya picha ya maalim Seif na Zitto akaweka picha ya Sufian eti ndio gasho mwenyewe[emoji2][emoji2]
[emoji23]Wabongo wanasema bora kupoteza hirizi kuliko kufiwa na mganga.
Hajafunguliwa mashitaka sio kwamba ni innocent ila bado analindwa na hii serikali haramu ambayo haina ridhaa ya wananchi.HIzi story za Makonda afungwe afungwe kwa kosa gani? Makonda anadunda tu mtaani. Na alifungwa Mbowe, Makonda hajawahi kaa hata mahabusu. Nyie mliaminisha umma kuwa Makonda ana makosa mengi sana. Kumbe wala si kweli. Mpaka leo miaka miwili toka Magufuli afariki Makonda hajafunguliwa kesi yoyote ile.
Upo sahihi , ilikuwa ni huzuni kuhusu hatma za nyadhifa zaoKama ni hivyo, ujue kuwa hawakuhuzunika kwa sababu ya kifo cha marehemu bali walihuzunishwa na kukoma kwa maisha yao waliyokuwa wamezoea.
Kwa hali ya kawaida, huzuni ya jirani haiwezi kuizidi huzuni ya wanafamilia.
Kwani pale Mutukula kwenye hii njia kama ya kwenda Izimbya hapapenyeki kuingia Uganda ?
Vipi Tunduma kwa kupitia hii njia ya kwa Mpemba nyuma ya stendi hapatupeleki Zambia?
Vipi Silari vijana wavushaji hawapo tena ili tufike Kenya ?
Ngoja kwanza kwani Kasumbalesa nyuma ya Kingdon bar hatuwezi kupita huko kufika Congo ?
Hapana Kirando tukifika kwa mtumbwi Congo ile pale no Visa no what
Kigoma pale hivi njia za nyuma huku Burundi hakuingiliki tena ?
Ngoja kwanza kwani Karagwe huko ndani kule Nkwenda zile njia za kuingia Rwanda zimejulikana tayari ?
Kwani vipi wazee wa fleeboat hapa uwanja wa Mwalimu Julius hawapo tena ? Hapana wapo mbona nasikia ni hela yako Vitengo wanakufikisha nje ya mipaka ?
Yaani haya yote nayawaza kabla ya siku 14 za Msiba mbona ni njia rahisi yeye kutokomea .
Labda ana hela ngoja niendelee kuhesabu siku alizopewa .
Ni matatizo yake ya kujitakia Musiba kutotafuta mwanasheria wa kujitetea na kudharau mahakama, ata kama imetumika vibaya.
Ukisikiliza maelezo ya decision kwenye kesi ya defamation aliyofungua Nehemia kuna justification ya award alizopewa on loss of business, other income na kupeteza trustworthiness kama mfanyabiashara vitu alivyoelezea mahakamani. Sasa kama kweli alikuwa na huo ushahidi wa MoU wa hasara alizodai kupoteza ni swala lingine. Ila decision ina justification kwa kesi aliyofungua.
Mahakama aiwezi jiropokea tu umlipe mtu kiasi gani cha fidia, inatakiwa kuwe na ushahidi wa loss of income za kibiashara au kwa ma celebrities ni damage ya brand zao ambazo ndio msingi wa kupata kazi na hela.
Sasa ata kama kweli Musiba alimchafua Membe kuna justification gani ya kumlipa damages za tsh 9 billion, hizo hasara Membe alizopata ni zipi zenye kufikia hiyo thamani au Membe ni brand yenye thamani ipi kama superstar.
Ni decision ya uonevu kwa Musiba, ila ujinga zaidi ni yeye kudharau mahakama toka anaitwa na kukaa kimya ata decision ilipotolewa; huko sasa ndio kujitakia.
Potelea pote , atimue mbio tu , naye Membe ni binadamu anaweza kumsamehe akiona mpaka ameamua kukimbia .Tatizo akitoroka atazidi kujiharibia. Pia ujue anaye mdai ni kachero hivyo anamfuatilia kwa ukaribu Sana, akitoroka tu , watamnyaka mapema.
Ana Mali equivalent to that amount?