Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

Kiukweli wasanii ni moja kati ya kundi ambalo linaongoza kwa kulogwa.
Hizi kazi za kukutanisha macho na watu wengi ni hatari sana hizi.
Si lazima urogwd maradhi noo, waweza tupiwa hata pepo la ulevi tuu.
Wivu unaharibu maisha ya wengi sana😢😢
 
Nimewashangaa sana raia kibao kwenye huu uzi. Wanasema kalewa K-Vant. Watu wanajidai wajuzi wa mambo wasioyaelewa hata kidogo.

Wanajua sana kwamba mchizi ni "Cha Pele" sema ikiwekwa wazi itacreate attention hivyo biashara zao zitamulikwa zaidi so wanapotezea kwamba ni K-vant hizo.

Ila mchizi nasikia tayari kashapelekwa rehab centre.
 
Ni mjinga tu kwakweli.. hakuna kingine zaidi ya ujinga..ni mjingaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…