Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Depression mbaya usiombe.. kukodi kwake bus kuna watu ndio wanaona huyo dada kama kawasababishia maisha yao kuwa mabovu.
Hakuna mwenye stress Wala depression jomba bali Kila mtu anaelezea vile anavyoona na ndio raha ya jf mawazo tofauti kwenye mada moja, Kila mtu maoni yake yaheshimiwe tafadhali.
 
Ni yeye anaitwa imelda john grant anaishi ana jumba lake mitaa ya tabata chama, za chini chini huyu dada analiwa na kigogo mmoja sekta ya madini alafu pia anauza ngada, njoo tabata alafu ulizia IMELDA JOHN au madam ime utapewa habari zake [emoji1474]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan una hasira weye lol.
Tafuta pesa acha kulia lia. Nawee nyoosha miguu na uinamie mkunyenge, ili upate hizo pesa, kwan unakwama wapi? Khaaaaah
nawee naye ugumu wa maisha ndo unawafanya mtoe ndogo ili muhongwe. Kama sio ugumu wa maisha ungegawa bure na wanawake wenzako.

na wewe tafuta pesa uachane na habari za kuhongwa.
 
Wala si uongo wanawake wana akili kisoda tukiongozwa na mama ako.
 
Ubepari mtauweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…