Kwa hiyo kisa una pesa ruksa kuagiza kreti zote za bia baa na kuamuru zitumike kudekia choo.......unaelewa maana ya 'wise use of resources' au wewe mwenzetu una ubinafsi uliopitiliza tamaa ya fisi.......unajua athari kiasi gani kwenye mazingira hilo basi limefanya kwa kusafirisha abiria mmoja kinyume na uwezo wake wa abiria 65, au unachukulia mambo kijuu juu tu kama ilivyo akili ya ngozi nyeusi wengi.........Acha chuki mkuu usipangie mtu matumizi kama hukutafuta nae....., TAFUTA PESA
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Waambie na wew mbuz hao...negative comment jamani wabongo tuna stress akiii
Mi ningemshauri wakati wakurudi angekodi mabasi mawili sababu wapo wawili....super champion au burudanHuyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo , lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
[emoji119][emoji119] View attachment 2052624
100%Itakuwa katemwa huyu sasa anataka kuonyesha umwamba kwa huyo baba wa mtoto kuwa yeye ni mwanamke wa shoka kama wenyewe wanavyo jiita.
Kwavyovyote tu huyu hakosi kuwa wale wanawake wanaotaka kuwa wanaume kwenye familia zao mwisho wanajikuta na stress.
Huruma ni kwa huyu mtoto kwasababu mama atafanya yote ili kumkomoa baba ila kunawakati utafika atachoka kufanya haya anayo yafanya mwisho atamtumia mtoto kama fimbo kumchapia mzazi mwenzake pamoja na kumjaza sumu mtoto kwa zile kauli "huna baba wewe ".
HoyaaaNimetamani hizo paja zake
Tumia akili, alichonunua ni hii publicity unayompa. Pia hiyo picha haimaanishi ulichosema ni kweliHuyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo , lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
[emoji119][emoji119] View attachment 2052624
Ki ki ki ki ki kiii kitongaaaπWanasemaga:
"Mtelemko uliponza Lori" !!!
πππππππππππ mambo yasiwe mengiUmesha jua mkuu sema unataka mambo yawe mengi.
wamezoea kupokea kutoka kwa madume bila kuvuja jasho ndo maana hawana uchungu na pesa.Wadada wengi ni wazur sana kwenye kutumia pesa, hata wafanyabiashara wanawapenda sana Wateja wa kike kuliko wa kiume, mm nahisi asilimia kubwa pesa wanazipata kiurahisi, imagine mtu bao moja anahongwa kuanzia 50000
Vijana wana stress na makasiriko sana. Hela yake,kaamua kukodi bus hasira wanapata wengine! Unataka kumpangia mtu jinsi ya kutumia hela zake?Wana mind katumia zaidi ya laki sita
Je angekodi chopa
Dada kajua kuenjoy na mwanae bana
Yawezekana baba wa mtoto wake
Hamsaidi hata ada nk
Ova
Aisee vijana wana stress sana nchi hii! Wamejaa chuki na negativity tuComments nyingi ni za umasikini tu
Eti mtu hawezi kufanya hivyo kama lazitolea jasho
Nani kapanga haya ?
Hela zake halafu kuna watu wanampangia ooh stress kweli mwenye stress atakodi Bus na kumfurahisha mwanae