Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Kama leo inata kila mtu anaponda nyumba ya luludiva wakati ule ndio uhalisia wa maisha yetu 90&%.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe nawee umeona? Nlikua nacheka comments za fb lol
 
Sas

Tumia akili, alichonunua ni hii publicity unayompa. Pia hiyo picha haimaanishi ulichosema ni kweli
Unaponiambia nitumie akili you're insulting my intelligence naomba tusifike huko mkuu. Publicity or not, she did it for own reasons.
 
Saafi sana.πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ sio kwamba hana magari yake.anayo.Mbona wenzetu wanatoka hukooo mbali wanatumia zaidi ya mara 4 au 5 ya hii.Naunga mkono.

Hii basi ni ile yenye toilet, bed room 2,kitchen,sitting room kubwa upande wa nyuma, room ya vinywaji mbalimbali, wifi , tv kubwa unapata channel zote isipokuwa TBC,kuna dish kubwa imefungwa kwa nyuma.

Hii basi ni zaidi ya treni first class ni nzuri sana,sijui wameweka nini huko chini kwa nyuma maana mneso wake sio wa kwaida.Kuna wahudumu 5 pamoja na dereva.

Huu ni utalii wa ndani tumefundishwa.
 
Mkuu umeongea kwa bonge la foam [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vijana wana stress na makasiriko sana. Hela yake,kaamua kukodi bus hasira wanapata wengine! Unataka kumpangia mtu jinsi ya kutumia hela zake?
Ni kitu Cha ajabu sana mkuu, wabongo sijui uwafanyie nini. Leo hii mfano diamond Platnumz akaamua kupanda dalala kutoka madale kwenda posta, maneno hayatoweza kukosekana
 
Stress ukishindwa kuzimanage ni changamoto,hapo utakuta anamkomoa ex husband,nadhani ikiwa mtu amesomasoma angalau hata ana bachelor inasaidia kidogo
Narudia stress ni mbayaaa!yaani unahangaika kote ili mradi aone una furaha bila yeye kumbe ni stress tupu!
 
Mwishoni anaomba poo,muda ni mzuri sana kusubiri
 
Mbona kila siku tunawaza mabaya tu.Nani kakwambia kuwa huyu dada sio mwanandoa.Hayo ni makubaliano yao wawili.Mme yuko zake nje kikazi ni mfanyabiashara xmas hatakuwepo nchini.Mama naye kapata hiyo offer.

Nani kakwambia mtoto atapata shida,Wewe jali wa kwako.Endelea kuchapa kazi Jan to Dec.to Jan.miaka nenda rudi.Lakini huthubutu kuketi mahali ukala hata chakula kizuri.We ni kimbia kimbia tu.Huoni kina mangi wanapotea mijini kuanzia tarehe 20 Dec.mpaka 5 January ndo wanarejea tena mjini na miji inaanza tena kucheka.Nawapenda sana kina mangi.Huyu dada sina wasiwasi ni mke wa mangi anawpitia familia ya mme wake waelekee mgombani.

Happy christ mass
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watajaa wanachuo hizo dala dala aan wanapenda sana sifa lol.
Hahahahah kweli lakini maana mjuba kulipa. Luteni kisa tu AC na bia ni uongo
 
Rangi iliopakwa kwenye machuma yanayotembea vinaleta furaha?
It is very difficult to find happyness.
Wazungu wameunda mavitu mengi bado hawajaipata furaha mpaka wanaamua waje Africa waone tembo simba,nyani,masai, maporomoko lakini bado hawaipati.
Furaha ni kama kesho, you never reach tomorrow like wise happyness.
 
Kumbe kuna watu mkipanda gari ni sehemu ya kupata furaha?
Kwa mantiki hiyo madereva wa mabasi ni watu wenye furaha sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mambo yasiwe mengi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio ivyo mkuu,kuna. Watu humu wakikosa chakucomment wanatafuta minor errors tu ili wakosoe.
 
Watakwambia ana stress. Kumbe wao ndio stress zimewazidi hadi kutaka kila mtu aishi kama wao
 
Mawazo ya kimaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…