Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Hao wanaodhalilishwa hawajitambui,mimi unufanyie mambi ya ajabu huku mimi ndo nawalea hapo,ntawalisha sumu mpka akili ziwakae sawa.
Malizia then unaozea jela.
 
Wote ni wabaguzi period
 
Uzi wako huu umeuleta tena.
 
Pambav zako
 
Hao wahindi wenyewe wanawabagua wahindi weusi yaani uko India wahindi weusi wanaonekana takataka tu kwa wahindi wenzao
 
Wacha uzushi wewe hata hapa Tz tu kuna wafanyakazi kibao hamuwalipi mishahara na munawanyanyasa sana tu huko majumbani mwenu. Tena wengine mpaka munawachoma na pasi za moto.

Humu kwenye jf kuna vijana kila leo wanakuja kujisifu na uhusiano wao na mahouse girl (sijui ndiyo munaita beki tatu?). Jee huo siyo unyanyasaji?

Unyanyasaji upo kwa jamii zote na ni tabia isiyokubalika hata kidogo.

Hata mimi mwenyewe sipendi eti kila siku kaka umekuja kutoa uso pale kwangu umekuja kusalimia, what for?
 
Nipike mimi niambiwe nile kiporo? Nashibia jikoni kabla hakijaiva. Masikini, wahindi hawajui umuhimu wa mpishi, siku akiwafanyizia mtatamani ardhi ipasuke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…