run CMD
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,185
- 3,909
Sijui Kiingereza, Kiingereza siyo Lugha yangu Kuu ya Kimawasiliano na Lugha pekee ambayo najivunia nayo na hata UN kupitia UNESCO wameitambua kwa kuiwekea tarehe yake Maalum kila tarehe 7 July ni ya Kiswahili.
Hivyo hata siumii au sishangai nikiambiwa kuwa sijui Kiingereza ambayo pia hata Mashoga (Wapiga Mluzi) wengi Wanaipenda na Kuishobokea Kutwa.
Nakuomba sasa Wewe Muingereza wa Tandale kwa Mama Paka unitafsirie tafadhali hicho Kiingereza cha huyo Dada alichokizungumza baada ya Tukio la 'Kujiteka ili Wazungu Wafadhili Wanilipe Fedha nyingi na Nipate Umaarufu' ili Maisha yaendelee.
Hebu onyesha wapi amesema wakaanza kuogopa na kuhisi najua mipango yao