Dada Maria Sarungi sijakuelewa zaidi hapa nakuomba unifafanulie kwa kina tafadhali ili wenye 'IQ' kubwa tukuelewe

Dada Maria Sarungi sijakuelewa zaidi hapa nakuomba unifafanulie kwa kina tafadhali ili wenye 'IQ' kubwa tukuelewe

Kukubali Maria Sarungi alitekwa ni kukubali rasmi kuwa katika Kundi la Mangumbaru (Wajinga) na Mapopoma (Wapumbavu) asilia.

Kwani ulitaka akwambie dhalili zote aliofanyiwa ikiwamo kubakwa kama kulihusika?
 
Bado kuna maswali mengi ya kujiuliza

1. Hivi kweli Mashababi ambao ni specialists washindwe kumtesa ili atoe pin number. ?
Ikumbukwe kama lengo ilikuwa ni kumvusha, kumleta Tz Ina maana watekaji walikuwa well financed by the state
Sidhani kama state ingechukua makanjanja kama hawa

2. Ukiacha lengo la kumvusha, lengo lao jingine ilikuwa kupata simu na pin yake ili waweze ku tress mawasiliano yake. Hivi kweli Serikali ya Tz inashindwa kupata mawasiliano ya Maria mpaka waanze kutumia njia za kibandidu

3. Hivi watekaji wanapata hofu kivipi ikiwa mtekwaji ametambua ya kuwa watekaji wana boss wao ??
4. To sum up kulingana na maelezo ya Maria INAONEKANA kwa kiasi kikubwa state imeshindwa ku hire watekaji wenye weledi na kazi yao

Mchangiaji mwingine anaweza kuongezea

Kwa hIyo ulitegemea akwambie dhalili zote alizofanyiwa kama ilivyokuwa?
 
Unajua chochote kuhusu Dunning-Kruger effect?
1. People with limited knowledge or ability in a certain area overestimate their competence. Essentially, they "don't know what they don't know," which can prevent them from recognizing their own limitations.
2. highly knowledgeable or skilled individuals may underestimate their competence because they are more aware of how much they don't know.
That means, a fool may not realize they are a fool due to a lack of self-awareness or understanding of their shortcomings.
Kafie mbele huko na Kiingereza chako cha Shule ya Msingi.
 
Kukubali Maria Sarungi alitekwa ni kukubali rasmi kuwa katika Kundi la Mangumbaru (Wajinga) na Mapopoma (Wapumbavu) asilia.

IQ kubwa mnapimaje? Na mnapimwa mtaa gani au hospitali gani? Au ni self declared status? Na inasaidia nini katika ulimwengu wetu huu?
 
Nyuma ya hawa wasiasa na wanaharakati kuna mengi sana yasiyo ya kweli, kumbuka hizi ndio shuguli zao za kila siku za kuwaingizia riziki, so kila leo wanafanya kila linalowezekana ili waendelee kubaki kwenye mijadala na vinywa vya watu ili kukuza wigo wa kipato chao.
 
Sijui Kiingereza, Kiingereza siyo Lugha yangu Kuu ya Kimawasiliano na Lugha pekee ambayo najivunia nayo na hata UN kupitia UNESCO wameitambua kwa kuiwekea tarehe yake Maalum kila tarehe 7 July ni ya Kiswahili.

Hivyo hata siumii au sishangai nikiambiwa kuwa sijui Kiingereza ambayo pia hata Mashoga (Wapiga Mluzi) wengi Wanaipenda na Kuishobokea Kutwa.

Nakuomba sasa Wewe Muingereza wa Tandale kwa Mama Paka unitafsirie tafadhali hicho Kiingereza cha huyo Dada alichokizungumza baada ya Tukio la 'Kujiteka ili Wazungu Wafadhili Wanilipe Fedha nyingi na Nipate Umaarufu' ili Maisha yaendelee.
Omba utafasiriwe Mkuu, usiwe king'ang'anizi kama Mbowe.
 
Huyu dada hakutekwa, aibu tu kwa tuliokuwa tunamuamini,kafanya jambo la kitoto sana.
Mimi ningemuelewa angesema kuna mwanaume alimlaghai akatoka naye akamuwekea madawa ya kulevya akaliwa mtungo hili linaweza kuniingia akilini.

Akitaka kujuwa watekaji awaulize familia ya Mzee Kibao na Ben saa nane.

Hizi takataka zinazojiita wanaharakati ni janga kwa Taifa.

Ni bora mara 100 ccm waendelee kutuibia kuliko hizi kima zinazotaka kutesa Watanzania wengi ilimradi wao wanaingiziwa pesa na wafadhili wao wa Magharibi.

Na hawa ndio maswahiba wa Lisu tutashtakiwa MIGA.
 
Kingereza ni changamoto sana
Hakusema hivyo omba mtu akutafusirie
Saa 3 usiku jana kahojiwa na BBC kwa kiswahili tu na alivyoandika mleta mada ndivyo hivyo alivyosema hata mwenyewe. Nyumbu msikimbilie kujificha kwenye kiingereza, kwanza kwa kiingereza gani?!!!! Cha Liverpool?!!!! Ukweli ni kuwa haters wa Samia na serikali mmeumbuliwa na huyu actor wenu, kacheza vibaya na movie imekosa mvuto kabisaaaa! Ni mburura pekee wanaoweza kubaki na huu ujinga vichwani mwao
 
Kitu chochote huwa lazima akili nipate kazi na kuumia.

Kuna video sijui kama ndio fully au lipa de..

nimeona mwanamke amerekodi kwa sauti anayoongea, Baada ya gari jeusi kumpita ndipo mtekwaji aka fungua kioo na kurusharusha mikono nje na pia akipiga kelele.

Kabla ni kuna boda pale pembeni ya gari ikakata kona kulia kugeuza, baada ikarudi kuelekea kule kule ilikuwa imeangalia na boda akiwa nayo pembeni yake.

Hapo sasa inaonekana kama hao watekaji hawakujua waelekee wapi baada ya kumteka. Wakawa wana baba ila, yaani hawakujipanga.

Huyo aliyerekodi kwa kilichotoea as utekaji ni kitu kibaya sana inabidi ajitokeze asaidie maelezo, kwa kideo inamaanisha akiwa siti ya nyuma aliona kilichotokea na akaanza kurekodi baada ya kutekwa Maria. Ningependa asikike ili wengine wasitekwe tena kihivyo isaidie. Aelezee pia isadie

Bado sijapata muda kumsikiliza Maria aloyoyaongea jana. Ila kwa picha anaonekana mwanamke jasiri sana baada ya tukio. Na kideo nimeangalia mara moja, kuna ya urefu?
 
Saa 3 usiku jana kahojiwa na BBC kwa kiswahili tu na alivyoandika mleta mada ndivyo hivyo alivyosema hata mwenyewe. Nyumbu msikimbilie kujificha kwenye kiingereza, kwanza kwa kiingereza gani?!!!! Cha Liverpool?!!!! Ukweli ni kuwa haters wa Samia na serikali mmeumbuliwa na huyu actor wenu, kacheza vibaya na movie imekosa mvuto kabisaaaa! Ni mburura pekee wanaoweza kubaki na huu ujinga vichwani mwao
Mimi siyo haters..ila umeshakariri mtu akisema sio hivyo unaona ni haters hiyo ni akili ndogo sana.
Kasikilize hiyo original clip useme ni wapi watekaji wakaanza KUMUOGOPA..

Alichosema aliwauliza tunasubiria nini? Wakasema Bosi
Akawaliza bosi wenu nani.Watekaji WAKAPATA HASIRA SABABU ANATAKA KUJUA MIPANGO YAO..

HAKUNA MAHALI WATEKAJI WAMEONYESHA KUMUOGOPA kama UZI UNAVYOSEMA

Kuna tofauti kubwa sana kati ya neno OGOPA na neno HASIRA
 
Kumbe sio mimi tu , nimemsikiliza hata sijamuelewa.

Mtekwaji anakuwa na guts za kubishana na watekaji mpaka wanamuachia wenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini mbona washabiki wa lissu na mbowe wote wanasewa wameelewa kinyama na Sasa wako bize wakimshushia matusi Samia kwa utekaji?!!!!
 
Mimi siyo haters..ila umeshakariri mtu akisema sio hivyo unaona ni haters hiyo ni akili ndogo sana.
Kasikilize hiyo original clip useme ni wapi watekaji walitetemeka
Mkuu, uliangalia mahojiano yake na BBC?!!!!!
 
Back
Top Bottom