TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
You can’t be seriousKama hujawahi kutekwa , huwezi kuona uzoefu kama huo.
Mtekwaji mwenye akili kubwa akitekwa lazima awe na mbinu za kivita either kuchelewesha kuuliwa,kuwalaghai watekaji, ikiwezekana kupata upenyo wa kuwatisha watekaji hata kama wanamzidi nguvu.
Jitu linaweza kuwa na mwili
mkubwa wenye nguvu lakini halina akili, likitishwa kiakili linaogopa.
Maria kapakua chakula kabla hakijaiva, na sasa anatafuta cover up