Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo wewe ulitaka baada ya kutekwa tu aanze kuharisha? kitendo cha kukimbia nchini maria salungi ilikuwa ni swala hilo la kutekwa na kwahiyo muda wowote alijua anasakwa kwahiyo halikuwa jambo geni kwake pili maria kambia tangu 2020 jiwe lipo iweje kiki azifanye 2025"Niliwasikia wakiongea na Simu na Boss wao ndipo nami nikawauliza kumbe mna Boss wenu na wakaanza Kuogopa na kuhisi kuwa najua Mipango yao"amesema Mtekwaji wa Dharula nchini Kenya Maria Sarungi.
GENTAMYCINE sijawahi kuona Watekaji wanaomuogopa yule Waliyemteka halafu Wanawasiliana kwa Uwazi mambo yao ya Ndani ya Gari walilombeba Mateka wao / Waliomteka.
Anyways mwaka huu kwakuwa tunataka pia Kutumika Kisiasa ili Wafadhili wetu Watoboke mifuko yao na Maisha yetu yazidi kuwa mazuri huenda tukaona Vituko vingi na Script nyingi za Matukio kuandaliwa vibaya na mikakati Kubuma.
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Uwongo na tena huo Uwongo ukifanywa na Mtu ninayemuamini kutokana na IQ yake kubwa kama Tate Mkuu, Bila bila, Leejay49, mrangi, ngara23, Extrovert na King Kong III
NDIYO AWAPIGE MATEKE WAMUACHIE? YAANI UKIMUAMINI HUYU MDADA UJUE UNAMATATIZO YA AFYA YA AKILI UENDE MILEMBE MWENYEWE USISUBIRI UFUNGWE KAMBAKama hujawahi kutekwa , huwezi kuona uzoefu kama huo.
Mtekwaji mwenye akili kubwa akitekwa lazima awe na mbinu za kivita either kuchelewesha kuuliwa,kuwalaghai watekaji, ikiwezekana kupata upenyo wa kuwatisha watekaji hata kama wanamzidi nguvu.
Jitu linaweza kuwa na mwili
mkubwa wenye nguvu lakini halina akili, likitishwa kiakili linaogopa.
I bet hujaelewa chochote hapo. Wewe size yako ni mambo ya Yanga na Simba, haya waachie wenye ''ubongo''Kafie mbele huko na Kiingereza chako cha Shule ya Msingi.
Hapa tunamjadili Maria Sarungi na siyo huyu Maria Salungi wako. Hopeless....!!kwahiyo wewe ulitaka baada ya kutekwa tu aanze kuharisha? kitendo cha kukimbia nchini maria salungi ilikuwa ni swala hilo la kutekwa na kwahiyo muda wowote alijua anasakwa kwahiyo halikuwa jambo geni kwake pili maria kambia tangu 2020 jiwe lipo iweje kiki azifanye 2025