Dada Maria Sarungi sijakuelewa zaidi hapa nakuomba unifafanulie kwa kina tafadhali ili wenye 'IQ' kubwa tukuelewe

You can’t be serious

Maria kapakua chakula kabla hakijaiva, na sasa anatafuta cover up
 
Buyo mama ni muongo wa waziwazi na kinachomsumbua ni njaa
 
Mkuu, uliangalia mahojiano yake na BBC?!!!!!
Alichosema aliwauliza tunasubiria nini? Wakasema Bosi
Akawaliza bosi wenu nani.Watekaji WAKAPATA HASIRA SABABU ANATAKA KUJUA MIPANGO YAO..

HAKUNA MAHALI WATEKAJI WAMEONYESHA KUMUOGOPA kama UZI UNAVYOSEMA

Kuna tofauti kubwa sana kati ya neno OGOPA na neno HASIRA
 
Haya mambo mpaka yakukute ndio utaelewa kuwa huelewi. Mara nyingi kama hujawahi kuwa muhanga au mtu wa karibu na muhanga wa jambo fulani sio rahisi kuujua undani wa jambo husika na huwa tunapuuza mpaka siku linapotufika.
... maneno meengi lakini jibu ni moja tu: "LA KUVUNDA HALINA UBANI!" ... HII KITU IMEBUMA AISEE, YAAN HATA MTOTO ANAJUA NI TAMITHILIA! HALAFU, PAMOJA NA KELELE ZOTE, MI HATA HUWA SILIONI TISHIO LA MARIA SARUNGI ANAYEPIGA STATE YA BONGO NA TEDDY BEARS!
😅
 
Utajipa ugonjwa wa moyo tu, we inatakiwa kwenye nafsi yako uhamini tu kuwa hajatekwa inatosha, hapo utakuwa na amani ya nafsi mkuu.
 
Kumbe sio mimi tu , nimemsikiliza hata sijamuelewa.

Mtekwaji anakuwa na guts za kubishana na watekaji mpaka wanamuachia wenyewe.
Unahoji guts za mtu anayeendesha mijadala spaces na harakati za demokrasia toka kipindi cha jiwe bila kificho ukiwa na fake ID.

Wengine nasoma wanatumia idea zao za utekwaji walizoona kwenye movie kulinganisha na maelezo ya Maria.

Utoto na uzwazwa
 
Nawewe unaamini kua watekaji waliogopa baada ya Maria kusema hivo😂😂
 
Tena imebuma vibaya, atawaharibia hata wenzake wanatakaotekwa kiukweli huko mbele.....haijulikani Sasa nani mkweli nani si mkweli
 
Endelea mpaka mwisho, "baadae wakaniachia wakasema "nenda usiangalie nyuma Wala kusema lolote......"

Naona kamanda umetulia kwa huzuni kuubwa sana baada ya Hy maelezo.
 
Imagination, watekaji ni madogo fulani nao wana bosi wao,

All in all kama ni kitendo cha ukweli, siyo nzuri
 
Yaaani ni sinema zaidi ya Futuhi...
 
Kwa hiyo Maria ni solder ..yaani ana mbinu za kivita ... 🤣🤣
 
Mimi ni miongoni mwa wale ambao tumeshindwa kuunganisha dot kutokana na Press ya dada Maria. Mwisho anadai alifika mahali akakuta magari mawili yamepaki akaingia ( Ukakasi) Kuna mahali tena alifika akaita tax akauliza bei akaambiwa elfu moja akatoa na akapelekwa nyumbani.
 
Ni maigizo; ubarikiwe sana kwa kuliona hilo
 
Very childish 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…