Dada Maria Sarungi sijakuelewa zaidi hapa nakuomba unifafanulie kwa kina tafadhali ili wenye 'IQ' kubwa tukuelewe

kwahiyo wewe ulitaka baada ya kutekwa tu aanze kuharisha? kitendo cha kukimbia nchini maria salungi ilikuwa ni swala hilo la kutekwa na kwahiyo muda wowote alijua anasakwa kwahiyo halikuwa jambo geni kwake pili maria kambia tangu 2020 jiwe lipo iweje kiki azifanye 2025
 
NDIYO AWAPIGE MATEKE WAMUACHIE? YAANI UKIMUAMINI HUYU MDADA UJUE UNAMATATIZO YA AFYA YA AKILI UENDE MILEMBE MWENYEWE USISUBIRI UFUNGWE KAMBA
 
Hapa tunamjadili Maria Sarungi na siyo huyu Maria Salungi wako. Hopeless....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…