Empedocles
Senior Member
- Sep 11, 2024
- 151
- 192
Kama hutonaki nipatie mawasiliano yake pm,Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Nipe mawasiliano ya dada yako ili nimtangazie ndoa faster. Yaani miaka yote hii nilikuwa namsubiria yeye tu.Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Umri wa dada yako tafadhali mkuuMzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Kagoma kupigwa mkuu yegembona wapo masista wengi tu waliovua vilemba na sasa ni wake na mama wazuri kbs WA familia...
mpeni support ili afanye uchaguzi sahihi maana Kuna styupido boys watampitia kumchakaza baiolojia kabla hajaland a real man.
babaenu naye aache uzombi wa kufukuza atakuja aibika ...
Usipende kutanguliza ngono kwenye Kila swala katika haya maisha..
Hao wanaojitoa kama mapadre, mabrothers na masista sio utaratibu ulioshushwa toka mbinguni, ni namna mtu binafsi anapo amua kuexpress imani yake Kwa matendo Kwa kuzidhibiti haja zake Ili apate nafasi ya kutosha kuwatumikia wengine Kwa uwezo wake kama ilivyokuwa Kwa baadhi ya mitume
Hao masista au mapadre utawakuta ni waalim, ma nurse, wakili etc wengine hadi jeshini wapo.. anaamua kutokua na familia lakini unakuta ni mlezi wa watoto yatima kanisani.. mshauri wa maswala ya ndoa etc
Unaenda msibani unakutana na habari kwamba marehemu hajazikwa sababu padre anasuluhisha ugomvi na mkewe nyumbani au mtoto wake ni mgonjwa yupo hospital ICU!! KAZI ya Mungu itafanyika vizuri Mkuu??
Miaka ya nyuma masista walikuwa wanasoma shule za serikali, sasa mmoja tulikuwa tunamuonyesha picha za ngono za wazungu miaka miwili baada kumalizia sekondari nilimkuta kaolewa na watoto wawili.Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Alichagua mwenyewe awe mtawa na kachagua mwenyewe aolewe. Sasa mbona mnalazimisha.Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Kashaonja utamu wa de liboloz🤣🤣🤣🤣🤣Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Nipe namba zake mkuu huko PM kwangu. Genyez zimemshinda kawa mkweli huyu niwahishie hiiyo pini mkuuTupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Kaonja mikito sahii anajilaumu. Wamlete kati watu wajilieKashaonja utamu wa de liboloz🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee asimfukuze akae naye chini amwambie sasa umekuja njia sahihi
Huyo jamaa aliitendea haki mbususu 🤣🤣🤣 hakulemba alivyopewa mbususu aigegedeKaonja mikito sahii anajilaumu. Wamlete kati watu wajilie
Imeliwa mpaka kachanganyikiwa kwamba kheeeh hz raha namuachia nani wampe nafasi aishi atakavyoHuyo jamaa aliitendea haki mbususu 🤣🤣🤣 hakulemba alivyopewa mbususu aigegede
Halafu mi si dogo mkuuJana ulisema ulikuwa muislam leo unasema we ni mkatoliki hivi unatuchukuliaje dogo
Hizi mada zako za kitoto peleka facebook tafadhaliHalafu mi si dogo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahKashaonja utamu wa de liboloz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee asimfukuze akae naye chini amwambie sasa umekuja njia sahihi