Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

1. Alikwenda Dar akitokea wapi dada yako?
2. Dada yake kabila gani?
3. Wewe ni jinsia gani na umri wako?
4. Unafanya shughuli gani?
5. Umeolewa au umeoa?
Ukinijibu nitaendelea
 
Mjomba anadhani kuunganisha koo mbili tofauti (kuoa) ni rahisi kivile.
 
Watu wa usalama watusaidie apa ivi Bahati nzuri ikatokea Mungu kampenda zaidi akafia huko nyumbani kwake wanakoishi hawezi onekana ni muuaji kama wauaji wengine tuu?
 
Kama hataki kuja kujitambulisha nendeni nyie tu mkajitambulishe asiwaletee ujinga dada na jamaa yake😎
 
Makubaliano gani haramu hayo?
Mkuu; Hukunielewa. Hebu rudia kusoma tena vizuri. Nimesema Dada yako ni haramu kwako i.e. Huruhusiwi kumuoa au niseme wazi zaidi kwamba huruhusiwi kuzaa naye au kulala naye. Au huko kwenu ikoje? Hata kisayansi haikubaliki hiyo kitu. Ni Inbreeding.
Huko aliko akiachika atarudi hapo maskani na huna cha kumsaidia.
 
Tafuta hela zako acha kuwaza hela za shemeji yako. Akimhonga dada yako inatosha ukitaka na wewe kuhongwa kakae kwa dada yako.
 
sawa hatukatai mojawapo ya mambo tuliyokubaliana ni hilo la kutokwenda kujitambulisha nyumbani kwa wazazi wa mwanamke, ila sasaaasa hatutaki litokee kwa dada yetu.
Hata sisi wengine ni dada za watu eti. Huyo wa kwenu ana uspecial gani?
 
Haya mambo tunachukulia rahisi sana,, lakini nashauri kama unaishi na binti ya watu jaribu kujitambulisha kwa mashemeji wakujue pia kama kuna Sherehe ukweni hudhulia. Sio lazima upeleke mahali kitendo cha wao kujua tu unaishi na binti yao kinaleta maana hata tatizo likitokea wanakujua vizuri.
 
Umeishiwa hela unapiga hesabu ya mahari kwa dada yako.Mahari siyo mtaji, na mahari siyo lazma. Fanya kazi ndugu acha dada yako na mume wako watafute maisha. Ipo siku na wewe yatakukuta.
 
Umechukua hatua gani kuiambia familia Yako?
 
Hapana mkuu kuna madhara hasi
Unapoangalia jambo uliangalie katika nyanja ya nyakati,. Hata Lutu angekuwa sasa tungemwita mlevi na jehanamu ingemhusu lakini katika nyakati zake alikuwa mtu mwenye haki.
Kutokutoa mahari na kujitambulisha tukitazama kwa nyanja ya nyakati hizi hakuna tatizo.
Kuna mabinti wametolewa mahari na kufanyiwa sherehe kubwa ya hharusi lakini maisha wanayoishi na hao waume zao ni kama ya laana. Magomvi, visasi, uzinzi n.k
Wengine hata mwaka hawamalizi baada ya hharusi.
Kama kuna amani baina ya dada yako na shemeji yako hiyo ni ndoa halali kabisa na Mungu anaiheshimu kuliko wanafiki wawili waliofungishwa ndoa kanisani then wanaishi kwa unafiki
 
Kwahiyo unaona WIVU wa nini
 
Mwili wake, K yake, siyo mtoto wako, mtu mzima, INAKUHUSU NINI?!
ISHI MAISHA YAKO, JALI YA KWAKO YANAYOKUSUMBUWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…