Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Mimi naona unaohangaika zaidi ni wewe.

Kwanza kuhusu mavazi ya udaktari, juu hapo uliooanzia sijakuelewa, mbona mavazi rasmi ya kidaktari ni nusu kanzu? Cha ajabu nini yeye akivaa kanzu kwenda kazini?

Hapo naona wewe ndiyo upo braiwashed kufikiria kuwa kanzu siyo vazi la madaktari.

Hivi vazi rasmi ka kidaktari ni lipi? Tuanzie hapo.
Mweee! Wewe bibi umerogwa nini? Yaani yale makoti wanayovaa madaktari ni sawa na kanzu? You cant be serious grany!
 
Write your reply...asee huyo jomba niwakumripot haraka wazee wakazi wamshughulikie kabla hajaletea watu majanga..haya ndo magaidi yabadae chinja Chinja ..ngoja apate connection uone
 
Mweee! Wewe bibi umerogwa nini? Yaani yale makoti wanayovaa madaktari ni sawa na kanzu? You cant be serious grany!
images (1).jpeg
 
Write your reply...asee huyo jomba niwakumripot haraka wazee wakazi wamshughulikie kabla hajaletea watu majanga..haya ndo magaidi yabadae chinja Chinja ..ngoja apate connection uone
Umejazwa ujinga umekujaa, soma between the lines, mjonba anatafuta upenyo wa kukwepa kutowa million tano alizotaka dadake.

Atowe tu million tano ampe dadake, aache huyo kijana msomi aishi maisha ayapendayo.
 
Achana na kichwa changu jibu hoja zangu.

Ukiona mttu anaavha hoja na kuanza kumtusi mleta hoja ujuwe kuwa hoja imemuingia kisawasawa.
mpeleke mwanao pale muhimbili aanze kazi akivaa kanzu kobazi na kibarakashia alafu uone ndani ya week kama atatoboa

wewe unasema kuwa madokta wanavaa nusukanzu hebu nitumie picha ya dokta wa muhimbili hapa au hopitali yoyote hapa bongo aliyevaa kobazi kibarakashia na kanzu kazini kama sio umechanganyikiwa wewe
 
Mimi niliona chuo. Nilishangaa kwa watu level za chuo kikuu kuwa vile. Walikuwa 7, walijitenga wakawa hawana muda na mtu mwingine wala kushirikiana. Tena ukiwa mkristo usikae kabisa karibu nao, muda mwingi wamekunja ndita
Nilichowakubali wote baada ya kumaliza tu chuo walioa
Kama nawajua hao jamaa sio Udsm mwaka 2021?
 
Kula na kushiba nyumbani kwenu halafu uchafu wako uende kuutupa kwa jirani ??!!-- au siyo!![emoji57]
Waislamu akili zenu ndogo kama wewe.

Hapo pugu sec kuna mwanafunzi alienda shule na choo
 
Sijui kwanini mababa huwa wanadharaulika. Mzee wa watu alishamuona dogo na uchizi wake akaamua kumpotezea mkamuona fala mzee wa watu mkaenda kukopa kumsomesha dogo. Ukute mkatoa na kashfa kibao kwa mshua. Haya sasa mkakope tena mumtibie dogo afya ya akili.
Madingi huwa tunaisoma ramani mapema na kuamua kuheshimu msimamo wa mtu kwa kukaa kimya na kumuacha afanye kille kimfaacho. Maana kama vile mdingi asivyopenda kupangiwa na yeye baada ya juongea mara mbil8 tatu huamua kumuacha dogo aishi maisha yake.

Wamaza huwa wanang'abg'ana na kulazimisha watakayo huku lawama zikienda kwa mdungi kama sgetani mkuu.
Ikitokea tu dogo maza akafanikiwa kumbadili dogo halafu digo akatusua basi hapo mdingi ndiyo ahesabu kuama chake kikuanza akuwa hai.
 
Mi
Ndio madhara ya kusomesha mtoto ukitegemea akiajiriwa upate sehemu ya mshahara wake, mimi nilidhani mvuta banghe mwizi mlevi mzizi kumbe kachagua njia nzuri sana ya mitume na manabii, ifahamike kusoma sio lazima uajiriwe huyo mama asimkatie tamaa amuulize kazi anayoiweza amuwezeshe tu
Mitume na manabii watamrisha wata mvesha, dini Kila mtu anaifuata lakini isikufanye uwe mrevi wa dini. Kwasababu dini zote znasisitza waumini wafanye kazi.
 
Sasa huzuni ni kuwa mdogo wake hana kazi au ni hela aliyoipoteza kusomesha? Kifupi pesa ukishaitumia hovyo, kama ulihonga, ulinywea pombe, uliibiwa, uliingiza mahali sio sahihi hutakiwi kuiwaza, wewe fikiria jinsi ya kupata nyingine na uendelee kuitafuta,kwakuwa ile haitarudi tena hata kama utapiga kelele.....
Halafu huyo dada yake ashukuru mungu Bado ana kazi.mimi Kuna familia jirani walikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.Baba alikuwa mfanyabiashara na mama mwalimu.mtoto wa kiume alisomea mambo ya uchumi baadae akaishia kwenye ushoga.wa kike alisomea Sheria lakini Hana kazi saivi ni tena.baba alifungwa Kwa kosa la uhujumu uchumi.kwa hivyo watu Wana shida kweli
 
Back
Top Bottom