Dada zangu mnavyojichubua ngozi, Mungu anawaona

Dada zangu mnavyojichubua ngozi, Mungu anawaona

Mjinga kabisa huyu kwenye ublakish wake ningeweza muongo hata Alteza.....alivyobadirika....hata bure sipigi
 
Ila mi naona alivo kuwa mweupe kawa vizuri kweli
Asa sijui ndo macho yangu tuu!!!
 
Ila baada ya kukobolewa kamekua kazur mbna
 
Siku hizi Mtoto akizaliwa huna haja ya kuhoji akiwa mweusi tii wakati baba na mama weupeee peee!
 
Back
Top Bottom