Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu


Unavyoongea unaonekana ni mdangaji kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani na humu wamo eee?

[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Haaahaaa...Hajar mchokozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Hahahaaa. Ila kama mie huwa namuwekaga upande wa ile Id yake basi najikuta najijibu mwenyewe tu kwamba hajamature bado hivyo utoto nao sometimes huwa ni tatizo.
kwa nini unagongwa na watoto?
 
Halafu mambo yalivyo badilika siku hizi wanaume ndio mmekua ombaomba matonya asubiri. Mkija huku mnabadilisha maneno
Wanaume wanaomba nini?? Najua wanachoomba ni papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…