Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Kwani ni nyie wanaume wenye uwezo wa kutafuta hela wanawake hawawezi?mbona mnapenda kujifanya kuwa mnaombwa sana hela? Kwani wanawake hawana hela?


Ungekuwa mwanaume, ungekutana na mambo aliyoongelea mtoa mada, unamtongoza mdada unaombwa hela kila mara, na papuchi hupewi..mbaya zaidi hata company ya maana hupewi akidai yupo busy... Unampa attention, pesa na muda and in return she offers you absolutely NOTHING NAHUJA
 
Kwani ni nyie wanaume wenye uwezo wa kutafuta hela wanawake hawawezi?mbona mnapenda kujifanya kuwa mnaombwa sana hela? Kwani wanawake hawana hela?
Mapovu.com, relax mama..Tunajua kuna wanawake wanajielewa kama wewe. Ila kuna hilo kundi la pili ni shidaaaaaa
 
Usimaind sana katoto ka beauty
 
Waambie wamezidi ubahili, mie nilikuwa napigiwa hesabu naambiwa kutoka ubungo hadi mbezi ni 1000 kwa m/kasi na 800 hadi kibaha unatumiwa 5000 nikaona upuuzi huu na mtu ana kazi hapo ila ubahiri wa hivi mm sipendelei
Kazi sio tija kama ni Guard wa benki mshahara 350,000 anawezaje gharama zote hizo
 
Haha me bado kabisa sjamwelewa nahisi sjui kama ntakuja mwelewa
Hahahaaa. Ila kama mie huwa namuwekaga upande wa ile Id yake basi najikuta najijibu mwenyewe tu kwamba hajamature bado hivyo utoto nao sometimes huwa ni tatizo.
 
Ndo maana huwa tunapiga na kuacha mkuu. Nikiona mdada ananililia njaa nakula papuchi mara 1 tu then napita hivi [emoji117]

Wanaume tunajua kuwa wanawake wana mahitaji ila wanapoamua kutufanya saccos na sisi tunawageuza "one-touch"
 
Mwanamke wa bure ni mama ako mzazi na dada zako pekee.hao wengine kama haujajipanga utalizwa kila siku
 
Waambie wamezidi ubahili, mie nilikuwa napigiwa hesabu naambiwa kutoka ubungo hadi mbezi ni 1000 kwa m/kasi na 800 hadi kibaha unatumiwa 5000 nikaona upuuzi huu na mtu ana kazi hapo ila ubahiri wa hivi mm sipendelei
Halafu unakuta za bia zipo.
Mapenzi ni matamu ila hela ikiwepo ni matamu zaidi
 
Hili povu limekaa kinjaa njaa sana. Umepata breakfast asubuhi hii?
 
Mara mbili kwa wiki bora na hao. Kuna ambao kila siku wana matatizo. Nauli vocha, chakula.. ndio michezo yao ipo hapo. Mwanamke anadanga masaa 24.
Nilipata wa hivyo nikampiga chini mapema sana maana tabia chafu kama hizo sizipend kabisa..
Hahahah Tabia chafu kweli yani mbovu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…