Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Halafu mambo yalivyo badilika siku hizi wanaume ndio mmekua ombaomba matonya asubiri. Mkija huku mnabadilisha maneno
Anakuingia na gia ya project fulani eti umkopeshe hela....jamani wanaume wengi siku hizi ni wanadanga balaa[emoji15]...konki konki hakukosea!
 
Wacha weh
 
Ishu ya kuombwa hela nadhani kina kaka kwa sasa mnaongoza jamani, mimi mpaka nimeamua mapenzi basi mnapiga vibomu mnooo mpaka unajiuliza huyu mpenzi au marioo, kwakweli mnakera.
Haaahaaaa....shost ukajikuta unadangwa?[emoji23] [emoji23]
 
Mmmh
 
wewe ni mdangaji.......hakuna mwanaume atakaye lipa zaidi ya elf 20 sababu una mashine mbovu ,nakujua vizuri..
 
Mkuu bora umelizungumzia hili, ila naomba turudi pia upande wa pili wale wadada wanaochukuaga wanaume kwa malipo tunaomba waongeze dau, huwa tunatumia pesa gym kila mwezi, msosi wa kutosha na nguvu nyingi wakati wa hayo masuala, six pack haziji kama mujiza, ongezeni dau!!
 
Kwani ni nyie wanaume wenye uwezo wa kutafuta hela wanawake hawawezi?mbona mnapenda kujifanya kuwa mnaombwa sana hela? Kwani wanawake hawana hela?
Kama mna hela mbona mnakua omba omba(wengi wenu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…