MtanzaniaJeuriSr.
Senior Member
- Mar 28, 2012
- 187
- 95
Ulitaka kuolewa humu?Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
Duh nikajua unavyoandika meseji zako hazieleweke nikadhani wa maana kumbe hopeless tu ndugu yangu, kama wanaokuona huko hawajakuoa iweje sisi huku? Tulia utaolewa tuu la sivyo utachezewa mnoo