Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Halafu wachangiaji wanaokosoa wanawake humu oooh wanatamaa ya pesa cha ajabu nina uhakika hakuna aliyeoa.
 
enzi zile za kipindi kile utu na ubinaadamu umetamalaki
Bibi yangu aliachana na babu yangu miaka hiyo, ndugu na jamaa walionizunguka ambao wamenizidi sana umri ndoa zao zipo juu ya mawe na wengine walishamwagana kitambo,ndugu na marafiki wa rika langu nao sioni tofauti..zipo zinazovunjika, za ambao ni wadogo kwangu the same thing.
Sasa naitafakari hiyo zamani ni ipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…