Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

ndoa si matako kama kila mtu anayo na wala sio lelemama na hasa ndoa za vijana wa kileo. Waliomo ndani ya ndoa wanataka kutoka sasa nyie wenye viherehere mnaotaka kuingia kwa tashwishwi za watu wengine ambao mpo humo shauri zenu, mtahesabiwa vyuo kila siku , ndoa zamani bhana sio sasa
Halafu wachangiaji wanaokosoa wanawake humu oooh wanatamaa ya pesa cha ajabu nina uhakika hakuna aliyeoa.
 
enzi zile za kipindi kile utu na ubinaadamu umetamalaki
Bibi yangu aliachana na babu yangu miaka hiyo, ndugu na jamaa walionizunguka ambao wamenizidi sana umri ndoa zao zipo juu ya mawe na wengine walishamwagana kitambo,ndugu na marafiki wa rika langu nao sioni tofauti..zipo zinazovunjika, za ambao ni wadogo kwangu the same thing.
Sasa naitafakari hiyo zamani ni ipi.
 
Back
Top Bottom