Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Maneno ya kujifariji. Una umri gani vile?
Ndoa ingekuwa lazima kwa mwanamke basi tungekuwa tunazaliwa na vyeti vya ndoa mkononi ili ukipata ufahamu tu unamjua mme wako nani
Au papuchi zingeandikwa majina ya mmiliki toka tumboni
Unless otherwise
Ndoa sio lazima
 
That's excuse, mambo ya watoto wapi na wapi. Naona ungeelekeza kwenye malezi bora na yenye maadili kwa watoto.
Umekosea mkuu,Omba Sana watoto wako wa kike kama utabatika wapate ndoa wasije angukia kwenye kundi ulisemalo la mbwisi au takataka.
 
Endelea kujifariji tu. Usipodhibiti mienendo yako lazima uzeeke bila ndoa. Halafu huwa wana stress na hasira za karibu wale wasioolewa na age inasoma 30+
wanazengo wanasema kuna umri mwanamke akifikisha hata uki cheat anakusamehe. ili udumbukie ndoani. ndipo cheche unakutana nazo
 
Endelea kujifariji tu. Usipodhibiti mienendo yako lazima uzeeke bila ndoa. Halafu huwa wana stress na hasira za karibu wale wasioolewa na age inasoma 30+

Usemayo yanaukweli kabisa ila si sababu ya kuwagandamiza just bcoz hawajapata wenza wao mkuu
 
Kwa
That's excuse, mambo ya watoto wapi na wapi. Naona ungeelekeza kwenye malezi bora na yenye maadili kwa watoto.
Kwa akili yako unadhani wale walio kosa Ndoa hawakulelewa kwenye maadili Kama wapo na wema wapo wanao tokea kwenye Familia zilizo wakuza vyema.Nimejibi comment yake kulingana yeye ameandika kitu gani.
 
Back
Top Bottom