man jiwe
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 207
- 203
Njoo kwanguEeeeh sasa jamani kama wa kutuoa hawapo tufanyaje.... Kuna vitu vingine huwezi kufosi vitokee acha wanaoolewa waolewe wakati wao umefika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kwanguEeeeh sasa jamani kama wa kutuoa hawapo tufanyaje.... Kuna vitu vingine huwezi kufosi vitokee acha wanaoolewa waolewe wakati wao umefika
Kwa miaka ya hivi karibuni, msiopaka ma make up tunawatafuta kwa kurunzi. Wengine wanajikandika Make up hadi sura zinatisha.Wema amechuja kwaajili ya make up. Usipozoea sana kupaka make up huwezi chuha haraka
Yaani mkuu unatoa mfano wa wema yule mwili wake kauacha uharibike vile pombe jumlisha vyakula vya mafuta bila kufanya mazoezi bila kusahau wanaume wasio na idadi lazima uchuje.Kibongobongo kuchuja kupo pale pale labda uwe unaishi kwa Trump.
Nilishangaa kumuona Wema usoni akiwa bila make up wakati ule alipohukumiwa siku saba za kukaa mahabusu
Simpondi, naelezea kwanini baadhi yetu hatuolewi wakati ndoa tunazitaka
Mekaup inafanya sura ikomae ukiwa unapenda kupaka kila siku.Wema amechuja kwaajili ya make up. Usipozoea sana kupaka make up huwezi chuha haraka
Happiness is your choice so YES, Money CAN buy Happiness.Money can't buy happiness! !
Don't u think that! ??
kumbe sio kweli kwamba sperm zinamfanya mtu anawiri na kuvutia.Yaani mkuu unatoa mfano wa wema yule mwili wake kauacha uharibike vile pombe jumlisha vyakula vya mafuta bila kufanya mazoezi bila kusahau wanaume wasio na idadi lazima uchuje.
Wenyewe tunapendezaKwa miaka ya hivi karibuni, msiopaka ma make up tunawatafuta kwa kurunzi. Wengine wanajikandika Make up hadi sura zinatisha.
Ha haaaa tayari kitambo. Nimeongea tu in generalKumbe wewe bado
Ni kweliMekaup inafanya sura ikomae ukiwa unapenda kupaka kila siku.
Ha haaaa tayari kitambo. Nimeongea tu in general
Ila hata wew inawezekana ukawa mdau wa make up.Wenyewe tunapendeza
Haa kwanini Sasa, mi nitaifanya usiogopeAiseee basi ile kazi yetu ngumu kufanikiwa
Najua ni kwasabu ya hiyo picha hapo. Hiyo ilikuwa ni kwenye harusi ya ndugu yangu kiukweli sikuweza kukataa kupakwa make up na divaglam 😀😀😀 wadau watanielewa.Ila hata wew inawezekana ukawa mdau wa make up.
Niulize kwanini ?
Najua ni kwasabu ya hiyo picha hapo. Hiyo ilikuwa ni kwenye harusi ya ndugu yangu kiukweli sikuweza kukataa kupakwa make up na divaglam 😀😀😀 wadau watanielewa.
Sina time na make up mie muulize manengelo
Nashukuru umetambua kwamba niliangalia hio picha.Najua ni kwasabu ya hiyo picha hapo. Hiyo ilikuwa ni kwenye harusi ya ndugu yangu kiukweli sikuweza kukataa kupakwa make up na divaglam [emoji3][emoji3][emoji3] wadau watanielewa.
Sina time na make up mie muulize manengelo
Wa kuwaoa tupo , sema hamtutaki.
Mie hata lipstic Sina. Nina rangi ya kucha tu kwaajili ya makucha yangu ya miguu😀Ni kweli..huna tym na makeup..mir toka harusi ya kakako last yr sijaaply makeup.nna 7mths sijaaply lipstick..uwii
Ha haa umeona nini?Nashukuru umetambua kwamba niliangalia hio picha.
Mie hata lipstic Sina. Nina rangi ya kucha tu kwaajili ya makucha yangu ya miguu😀