Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Angekuwa na hizo mali tusingepumua humuMkuu nimesoma thread zako nyingi wewe.....Unapesa yakwaida TU HUNA utajiri wowote ule...
Kumiliki gari ya kawaida ya kutembelea na iPhone Sio utajiri Mkuu...Ni maisha yakawaida hayo.