Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Mkuu...Unajisikiaje pale wenzako wanavyojenga magorofa na kununua Range Rover na wewe upo umebung'aa TU?

What is meant to be yours will eventually reach you. vice versa is true

huu mfano wako umekosa shabaha Ms analyst, utajiri na mali Ni vitu vya kutafuta vikapatikana na ndio maana hata hao matajiri wanatofautiana utajiri pia. Mo ni tajiri Ila Mo mbele ya Gates Ni fukara mwenzetu tu.
Ndoa haitafutwi inakuja yenyewe freely na kama haiji kwako lazima ujiulize maswali why you? Huna mvuto au kuna kasoro gani Hadi wanaume hawakuoni!
Hiyo kauli yko mwishoni hapo ukishafikisha 30+ inakuwa batili na unaanza kuishi kwa mashaka.
 
Kuna mwamba tukupeleka barua, tukapokelewa kwa nderemo na vifijo, tukaenda kutoa mahali Mil 2.7, akapangwa tarehe ya send off kabisa. Wiki 3 baadae baadae shemeji ananipigia simu analia eti jamaa hamwelewi amabadilika.........
Nikamwendea hewani mwamba, akawa amebadilika kbs hataki kusikia habari yyt khs yule shemeji na kwamba tusiongele tena hilo suala.... ndo ikawa imeishia hvy!!!

Mtu kalipa mpaka mahari[emoji28][emoji28][emoji1316][emoji1316]
 
huu mfano wako umekosa shabaha Ms analyst, utajiri na mali Ni vitu vya kutafuta vikapatikana na ndio maana hata hao matajiri wanatofautiana utajiri pia. Mo ni tajiri Ila Mo mbele ya Gates Ni fukara mwenzetu tu.
Ndoa haitafutwi inakuja yenyewe freely na kama haiji kwako lazima ujiulize maswali why you? Huna mvuto au kuna kasoro gani Hadi wanaume hawakuoni!
Hiyo kauli yko mwishoni hapo ukishafikisha 30+ inakuwa batili na unaanza kuishi kwa mashaka.

[emoji28][emoji28][emoji1316][emoji1316]
 
Mkuuu...utajiri na Mali Ni rehema za Mungu...Kama ambavyo unaweza unatafuta Mali na ukaikosa..waweza pia itafuta Nusra na ukaikosa...

Usiseme Kwamba wewe unaweza leo.ikafanya kazi Sana ukapa hela kwa uwezo wako TU...Vyote vinatoka kwa Mungu....
Hata hao wanaopata Ndoa Ni rehma zaMungu haimaanishi Kwamba Ni wema Sana ...au Ni wasafi Sana..Hapana ni rehema zake Mungu...

Ndo maana namimi nikamuuliza Hizo Mali za wengine akiziona anafanyaje..kwasababu anaweza asizioate Hadi kufa. ..na ndoa Ni Hivyo Hivyo...unaweza ukaipata na ukaikosa..ni rehema zake Mola..

Mtu hatakiwi kuwaonea wengine wivu au kuwa na husda au kuwaroga kwa Neema alizowapa Mungu..
Kama imepangwa wewe kuoa utaoa na ndoa itakuwa yenye Neema..na unaweza ukao na isiwe yenye kheri kwako..

Mali..na watoto Ni Rehema kutoka kwa Allah...na kupata watoto Ni Lazima ndoa kwa mujibu wa Mungu...hivyo ndoa nayo Ni rehema kutoka kwa Allah..humpa yule amtakae
 
huu mfano wako umekosa shabaha Ms analyst, utajiri na mali Ni vitu vya kutafuta vikapatikana na ndio maana hata hao matajiri wanatofautiana utajiri pia. Mo ni tajiri Ila Mo mbele ya Gates Ni fukara mwenzetu tu.
Ndoa haitafutwi inakuja yenyewe freely na kama haiji kwako lazima ujiulize maswali why you? Huna mvuto au kuna kasoro gani Hadi wanaume hawakuoni!
Hiyo kauli yko mwishoni hapo ukishafikisha 30+ inakuwa batili na unaanza kuishi kwa mashaka.
Wewe kuwa kwako na hela ya KUyabidili.Mboga TU..Mbona hujiulizi why me...Unakasoro Gani mpaka wengine wakapewa Mali na vyeo na majumba na ufalme..wewe ukakosa...UNADHANI ukitaka kitu ukakitafuta ndo lazima.ukipate..

Hata wewe unaweza tafuta huyo mke na ukamkosa vile vile...mpaka ukashangaaa
 
Anasema tu siyo type yake, juzi kanitambukisha mwingine ananiambia ndo type yake na ndo atamuoa, nkamwambia sawa lkn sitahusika kwa lolote tafuta ndugu wengine wa kufanya hilo. Bora lawama....

Heee sio type yake tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bora lawama kuliko laana
 
Mi livyo expérience wanawake wengi hasa ambao hawajaolew ikiw wana umri mkubw baadh yao wengi chanzo huw wao wenyewe ko haina haj ya kulia,unakut binti anamachaguo mengi mara mume awe msomi,awe na pesa,awe handsome,mrefu, mpole na mwenye hofu ya Mungu [emoji1787][emoji1787],sa kwl dunian kun mtu anahivy vyt af pia sual la kuintaract,wengn kujitia usister du mwing,wengn kugongesh sana sa atakuoa nani?
 
Back
Top Bottom