Dah! Mzee Tom Cruise (63) anapiga hii mashine nimeumia sana

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu

Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada kwenye movies, hata movie mpya ya Ballerina, anaetamanisha kwa kumuangalia tu, ananitoa udenda...ama kweli tafuta pesa uzee mwisho chalinze ..Babu miaka 63 anaipiga mashine ya miaka 30...😭 Huyu binti ni Mrembo sana nilikua najikusanya kusanya vipesa niende marekani nikamuibukie..nimelia sana kuona Anatoka na jizee tom ...


 
Huyo mwanamke anaitwa Ana de Armas
 
Mbona demu mbovu sana.. au hiyo rangi imekuchanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…