Dah! Mzee Tom Cruise (63) anapiga hii mashine nimeumia sana

Dah! Mzee Tom Cruise (63) anapiga hii mashine nimeumia sana

Nilisema kama sijakutana na comment hii kwenye huu Uzi kutoka kwa mvuta bangi basi naenda kuchoma ikulu...hatimaye...๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… wabongo tuna stress tunatafuta mahali pa kuzitua
 
Nimeumia sana mkuu ..vijana tunakwama wapi ..mkuu nakuambia huyu ukikutana nae live lazima usimamishe...
Kweli kabisa mkuu. Huyu hata ukimkubatia tu lazima upige bao.
 
Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu

Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada kwenye movies, hata movie mpya ya Ballerina, anaetamanisha kwa kumuangalia tu, ananitoa udenda...ama kweli tafuta pesa uzee mwisho chalinze ..Babu miaka 63 anaipiga mashine ya miaka 30...๐Ÿ˜ญ Huyu binti ni Mrembo sana nilikua najikusanya kusanya vipesa niende marekani nikamuibukie..nimelia sana kuona Anatoka na jizee tom ...

View attachment 3427173
View attachment 3427176
Hyo 63 anaimaintain sio poa, i thought ni 40s labda....ila mchukue huku kwetu mwenye hiyo 63 afu umlinganishe na Cruise๐Ÿ˜‚
 
Tafuta hela ili utembee kifua mbele ka umepigwa ngumi ya mgongo
 
nilikua najikusanya kusanya vipesa niende marekani nikamuibukie
Alf unakuta unamfuata anakupiga kibao๐Ÿ˜
Yani katika kuhangaika kotee unafika huko ile kumuuliza ni kibao๐Ÿ˜
 
UNASEMAAA??
69D5CCFC-2FF3-40BE-B965-5662DA648B77.jpeg
 
Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu

Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada kwenye movies, hata movie mpya ya Ballerina, anaetamanisha kwa kumuangalia tu, ananitoa udenda...ama kweli tafuta pesa uzee mwisho chalinze ..Babu miaka 63 anaipiga mashine ya miaka 30...๐Ÿ˜ญ Huyu binti ni Mrembo sana nilikua najikusanya kusanya vipesa niende marekani nikamuibukie..nimelia sana kuona Anatoka na jizee tom ...

View attachment 3427173
View attachment 3427176
Wala hana uzuri wa kutisha! Anazidiwa na mabinti wengi tu wa kibongo!
 
Back
Top Bottom