Dah! Mzee Tom Cruise (63) anapiga hii mashine nimeumia sana

Dah! Mzee Tom Cruise (63) anapiga hii mashine nimeumia sana

Demu hana matacore na unamsifia.
Una upwiru wa miaka mingapi mkuu?
 
Tafuta ela wanawake wazuri hawaishi. Tafuta ela tembea tembea uje ufute huu Uzi!
Mimi nilimtaka huyu huyu...itakua anajua kuifinyia kwa ndani...yani mzee katupiga VIKUMBO sisi vijana kweli
 
Hiyo industry ili upewe nafasi sharti uliwe na vigogo. Binti from no where awe star kwenye muvi inayo muhisisha J. Wick hivi hivi? Lazima vigogog wabonyeze.
Kanumba vs johari vis yule dogo alie msababishia kifo vs many more girls
Mkuu umeamua upigilie msumari kabisa kwenye maumivu yangu ...ila nilishangaa gafla kwenye scene Moja na John wick si mchezo mtoto mtamu mbaya...
 
  • Kicheko
Reactions: x x
Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu

Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada kwenye movies, hata movie mpya ya Ballerina, anaetamanisha kwa kumuangalia tu, ananitoa udenda...ama kweli tafuta pesa uzee mwisho chalinze ..Babu miaka 63 anaipiga mashine ya miaka 30...😭 Huyu binti ni Mrembo sana nilikua najikusanya kusanya vipesa niende marekani nikamuibukie..nimelia sana kuona Anatoka na jizee tom ...

View attachment 3427173
View attachment 3427176
Makeup kibao, plus AI modified Photo
 
Hahaha mchagua kummar si mtombaji ausio ni mwendo wa kufumua tru🤭
Kwanini usichague , unataka watu watombe ovyo Hadi visivyotombeka...hata naamin Smat alichagua sana kummar ndio akaona yako inafaa kwa matumizi ya mda mrefu
 
Alitafuta ujanani we Endelea kupenda vitoto vya elfu 2000 saivi na kucheza pool table
 
Kwanini usichague , unataka watu watombe ovyo Hadi visivyotombeka...hata naamin Smat alichagua sana kummar ndio akaona yako inafaa kwa matumizi ya mda mrefu

😁😁😁😁

Smart911 kama Smart mwambaaaa💪
Kwa matumizi ya muda mrefu 😋😋😋😋
 
Huyu hatumii madawa Yale ya kuondoa uzee kweli? Jumlisha na pesa .... marekani hakuna kitu ambacho hawana ..wameshindwa kutengeneza roho tu...
Ushaanza kumkandia mwana 😂😂, kuna jamaa yangu alikua anamkubali sana Lulu, alivoolewa na Majizzo nae jamaa zikawa haziivi kabisa na Majizzo.
 
Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu

Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada kwenye movies, hata movie mpya ya Ballerina, anaetamanisha kwa kumuangalia tu, ananitoa udenda...ama kweli tafuta pesa uzee mwisho chalinze ..Babu miaka 63 anaipiga mashine ya miaka 30...😭 Huyu binti ni Mrembo sana nilikua najikusanya kusanya vipesa niende marekani nikamuibukie..nimelia sana kuona Anatoka na jizee tom ...

View attachment 3427173
View attachment 3427176
Ama kweli Beauty lies on the eyes of beholder, siongezi neno.
 
Mbona mwanamke wa kawaida sana!

Kuna nini sasa hapo mafuvu tu hayo usichanganyikiwe.
 
Back
Top Bottom