Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Hakuna demu wa maana hapo
Wanatumia madawa mixer surgery za kutosha! Muangalie vizuri babu Lionel RichieHuyu hatumii madawa Yale ya kuondoa uzee kweli? Jumlisha na pesa .... marekani hakuna kitu ambacho hawana ..wameshindwa kutengeneza roho tu...
Tom Cruise hazeeki kabisa
Jamaa kaonesha upumbavu wa kiwango cha juu!Alf binti mwenyewe hamjui huyo mtoa mada😎
Kabisa mkuu.Wazungu ni Overrated.
Tuthamini vya kwetu
-NYASH WILL NOTSjui kwann wazungu hawana mpango na wanawake wenye shape na matako
YhYani sionagi star mwenye mashine, na hawa wadada waliobarikiwa wa kizungu huolewa na watu wa kawaidaaaa
Hata mimi nimeshangaa aisee! By the way "uzuri uko machoni mwa anayeangalia" tusimshangae sana.Kijana kuwa na tamaa za kithenge ,kukuza vitu ni ujinga ..Huyo mwanamke ana maajabu gani sasa?
Hata Mzee Lugumi anakula miss Rwanda 2016! mleta mada atafute hela, umri ni namba tu!Mapenzi hayana uzee mkuu na kile kitu hakina umri