Dah! Mzee Tom Cruise (63) anapiga hii mashine nimeumia sana

Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu

Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada kwenye movies, hata movie mpya ya Ballerina, anaetamanisha kwa kumuangalia tu, ananitoa udenda...ama kweli tafuta pesa uzee mwisho chalinze ..Babu miaka 63 anaipiga mashine ya miaka 30...😭 Huyu binti ni Mrembo sana nilikua najikusanya kusanya vipesa niende marekani nikamuibukie..nimelia sana kuona Anatoka na jizee tom ...

View attachment 3427173
View attachment 3427176
Du! Huyu mzee anat0mb3r shimo la maana sana aisee. Anatutamanisha.
 
Takoless wa hivyo wa nini mimi? Tukutane uswazi take away
 
Attachments

  • 1754059158852.png
    1754059158852.png
    1 MB · Views: 15
Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu

Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada kwenye movies, hata movie mpya ya Ballerina, anaetamanisha kwa kumuangalia tu, ananitoa udenda...ama kweli tafuta pesa uzee mwisho chalinze ..Babu miaka 63 anaipiga mashine ya miaka 30...😭 Huyu binti ni Mrembo sana nilikua najikusanya kusanya vipesa niende marekani nikamuibukie..nimelia sana kuona Anatoka na jizee tom ...

View attachment 3427173
View attachment 3427176
Acha wivi wewe kijana,kwenu hamna wazee?
 
Back
Top Bottom