Dah! Mzee Tom Cruise (63) anapiga hii mashine nimeumia sana

Huyu hatumii madawa Yale ya kuondoa uzee kweli? Jumlisha na pesa .... marekani hakuna kitu ambacho hawana ..wameshindwa kutengeneza roho tu...
Wanatumia madawa mixer surgery za kutosha! Muangalie vizuri babu Lionel Richie
 
Sjui kwann wazungu hawana mpango na wanawake wenye shape na matako

Yani sionagi star mwenye mashine, na hawa wadada waliobarikiwa wa kizungu huolewa na watu wa kawaidaaaa

Ila wanaume ma Star wao wana deal na nini ndio sijui
 
Mzee wa mission impossible

Ova
 
Ukute uko kwy 30s ila huna mwili mzuri kama wa Tom....yani unaonekana mzee kuliko mzee mwenyewe...
 
Unapata wapi ujasiri wa kuumia kwa jambo hili wakati kuna jambo kubwa zaidi la kula mlo mmoja linakusibu kijana
 
Kijana kuwa na tamaa za kithenge ,kukuza vitu ni ujinga ..Huyo mwanamke ana maajabu gani sasa?
Hata mimi nimeshangaa aisee! By the way "uzuri uko machoni mwa anayeangalia" tusimshangae sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…