Dah! Urusi wameachia hiki kifaa kikachukuliwa kizembe sana, hii hasara sasa

Kwa namna huwa mnamuabudu Putin kuzidi hata mtume wenu, nilijua Urusi hawezi kusogeshwa hata ekari moja.
Kumbe wewe ndio ukajua hivyo,basi pole maana hujui vita na changamoto zake!
Ukraine ushindi Bado ni safari ndefu!
 
Hii inakumbusha vita ya Israel na misri, israeli alikuwa kazidiwa akaja mzee wa rainbow akatia mkono mwarabu akala kibano
 
Hako ni ka External fuel tank na tena ni empty, sasa la nini kama internal tanks zipo full
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Putin atakufa siku si nyingi. Huwezi kwenda kuua watu wasio na hatia, watoto wa shule, wagonjwa mahospitalini, wazee na walemavu wasio na hatia, Kisha ukaaachwa hivi hivi. Ila kabla hajafa Cha moto atakiona.

Hakuwa na sababu yoyote ya kuafanya unyama huu zaidi ya ubabe na ubinafsi

Labda ahame nchi aka slimu kama mwenzake Iddi Amini.
 
Ndilo tatizo la ukomunisti na ujamaa. Unakufa for no justfiable cause, why? tupa takataka kule kimbia jisalimishe kwa adui maisha yaendelee. Wao familia zao ziko Paris, NewYork etc....
Russia sio taifa la kikomunisti . ukomunisti ulikufa Russia tokea 1990s.
 
Hehehe jamaa kumbe upo, tuliwaonya humu mkaendelea kumuabudu Putin, leo hii mnaachwa mayatima maana hata Mchina aliogopoa kufanya chochote licha ya kushikwa masharubu pale Taiwan.
Wewe ulitaka China afanye nini ?
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nani kaingiza mguu?? Katika hayo unayoyaita mataifa makubwa na misaada yao imekomboa sentimeter ngapi?
 

Wanajeshi wa Urusi wamechoka kutumiwa kama mandondocha. Za kuambiwa changanya na za kwako.
 
1. Kwani walijiunga jeshini kwa faida ya nani ?

2. Kwani jeshini unaenda kupigana Vita au kucheza mziki ?

1.Kwa faida ya nchi lakini vita vingine ni ubabe wa kijinga wa kiongozi mjinga.
So kwann ufe familia yako iteseke kwa upumbavu,wakati yeye familia yake inakula bata Paris.
2.Kupigana kuilinda nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…