Dah! Urusi wameachia hiki kifaa kikachukuliwa kizembe sana, hii hasara sasa

Ukraine anasilaha nyingi za enzi za soviet , hata misaada mingi aliyokua anapewa ni ya zile nchi zilizokua na vifaa vya enzi za soviet hasa vifaru na madege ,kwa sasa ndo hizi himars na hizo javelin ndo za magharibi ila asilimia kubwa ya silaha za ukraine ni za mrusi.....acha waendelee na comedy zao
 
Mwanzoni wa vita waliwekaga kideo cha progaganda wanasema ni ukraine kumbe ni video game
 
Ni zamu ya putin nae aende front akapigane
Weeee; Weee, Putin huyuhuyu au mwingine? Mbona kachoka ile mbaya halafu afya yake haimruhusu hata kusikia mlio wa risasi. Mwacheni mzee wa watu ajifie naturally.
 
Mwanzoni wa vita waliwekaga kideo cha progaganda wanasema ni ukraine kumbe ni video game
Ndo maana baadaye wakaanza kuweka picha za maiti na hata majina yao esp. wale wenye vyeo vya juu e.g. makapteni, makanali, luteni kanali n.k.
 
Hilo ni kweli. Hata mafunzo ya kijeshi ya wapiganaji wengi wa Ukraine waliyapata enzi za Soviet.
 
Ndo maana baadaye wakaanza kuweka picha za maiti na hata majina yao esp. wale wenye vyeo vya juu e.g. makapteni, makanali, luteni kanali n.k.
Nilivyoona hadi Hollywood imeingia humo vitani , nikajua kabisa video za mchongo zitakuja za kutosha.....
 
Ndio maana nasema,Ukraine anakula kichapo Cha kimya kimya!
Lakini mbona mwanzoni Mrusi alikuwa na kelele nyingi na Vitisho vya kila aina hadi akaanza mashambulizi ya silaha kwa mbwembwe nyingi lakini sasa kawa mkimyaaaa. Angalia usikute jamaa kakamatiwa chini yan.
 
Hii vita imemuabisha Sana Putin, Saa hizi watakuwa wanaingiza kono lote na si dole pekee.
Mchina amejifunza kitu
Au sio Mzee ulaya had Sasa wanahaha kuweka sawa na mrusi wee upo mbwinde huko unasema kaabika huku anachukua maeneo kibao
 
Chuchu Sound
 
 
Unaelewa nini kuhusu ukanda wa Donbas.
Ninachofahamu, na ndivyo ilivyo, Ukraine ni nchi huru inayotambulika Kimataifa. Ukraine amekuwa mvumilivu au aliogopa muda wote kuanzisha vuguvugu la kudai maeneo yaliyochukuliwa kimabavu - Donbas na Crimea vikiwa ni mojawapo.
 

Taarifa za Urusi zingekua kweli yaani leo Ukraine ingekua shamba.....tangu vita vianze wamekua wanatoa updates za ajabu sana....mpaka sasa wamelipua HIMARS zaidi ya 100
 
Hapa ndio vijana wengi humu wanakwama
 
Hilo ni kweli. Hata mafunzo ya kijeshi ya wapiganaji wengi wa Ukraine waliyapata enzi za Soviet.
Tokea 2014 wamekuwa wakichukua mafunzo kutoka ulaya ili ku mordenize wanavyo oparate. Hatumi tacticts za mrusi kwa asilimia kubwa.
 
muhaya bhana unatuhaibisha[emoji2]
eti una jamaa yako yuko flontline [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…