Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu

Mkuu, tuyaache, amekwishakufa au kuuwawa hatorudi. Bahati mbaya kila unavyojitetea au kutetea hoja unaongeza maswali na hofu hata kwa wana JF. Barikiwa na kwa heri.
 
Hivi dunia ya leo.mtu anakufa kwa ajali zinapita siku kadhaa bila watu Kujua kweli?.
Sawa mnapokea maiti hamuifahamu kwanini msitoe taarifa kwenye vyombo vya habari au mitandao ya kijamii.ili wenye ndugu Yao aliyepotea waanzie huko?
 
Madekela naye awe makini. Na Ali kibao naye alishawahi kuwa askari.
 
Kwahiyo we mbulala unataka kutambia marehemu hakuwa na kitambulisho chochote mfukoni kwa hadhi yake kwenye jamii?? maana hakuwa boda huyo.
 
Kwahiyo we mbulala unataka kutambia marehemu hakuwa na kitambulisho chochote mfukoni kwa hadhi yake kwenye jamii?? maana hakuwa boda huyo.
sasa muerevu,
si ungepunguza kwanza mihemko ili kuuliza swali hilo muhimu na la maana sana kwa wadau?

Muungwana hakua na utambulisho wowote na hakua na uwezo wa kueleza chochote kulingana na athari za ajali yenyewe. Kumbuka alikua peke yake. Piki piki iko katika hali mbaya zaidi, huwez kudhani kama alieitumia anaweza kutoka salama kwa jinsi ilivyoharibika.

Huenda alikua na vitambulisho lakini wasamaria wema bandits wenye dhana potofu za kufa kufaana vichwani mwao, yawezekana walipita na wallet yake, simu na vinginevyo.

But,
hakua amebaki na chochote πŸ’
 
Huna uhakika kama bado alikua askari au laa,na sijaona utata wa kifo chake
 
Mbona hadithi yako haioneshi kama kauawa zaidi ya kuelezea namna ulivyomfahamu kwa uchache?
Wewe Mtetezi ndo useme Kwa nini Polisi hawajamtaja kama Askari wao wakati mpaka anakufa alikuwa Askari. Unaona ni Jambo la kawaida Hilo?
 
Una uhakika kwamba ni ajali? Yaani unaliamini kabisa GESHI letu na "TAHARIFA" zake?
Mi naogopa kabisa na kama ni ajali ya kawaida mbona lina wahahisha hivyo ...Haya mambo kama hayajawi kutokea usoni kwako utamtetea kila mtu ila yakikufika hutamuamini yeyote kati yao sisi mtaani tulipoteza vijana 3 kwa mpigo.
 
Mi naogopa kabisa na kama ni ajali ya kawaida mbona lina wahahisha hivyo ...Haya mambo kama hayajawi kutokea usoni kwako utamtetea kila mtu ila yakikufika hutamuamini yeyote kati yao sisi mtaani tulipoteza vijana 3 kwa mpigo.

Kwa sababu gani walipotea?
 
Nani afuatialie namba zilizompigia ndugu yangu? Kusoma hujui, picha nazo zinakushinda kuangalia? Mimi niliposoma taarifa jinsi alivyopotea na kuja kupatiana nilijua tu kuna kitu kinafichwa. Hili la kusema alikuwa polisi nano lina ukweli na huenda kuna jambo wametaka kuficha
 
Ndiyo wangekuwepo wale investigation journalist wangeenda hapo ubungo na kufanya uchunguzi
Ila kama ni ajali ya boda kapata hiyo hatushangai

Ova

Wapo...Mzee wa Minyama, Zembwela, Mzee mwenye pua kubwa etc πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…