Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Mambo ya angani yanatisha sometimes! Unaweza tamani bora kupanda gari!
Kuna siku hali ya hewa ilikuwa mbaya kila mmoja alikuwa akimtazama mwenzake, lkn mm nikawa najipa moyo kwa kusema kama ndege mnyama hawezi kudodoka hovyo akiwa angani basi na hii ndege sio rahisi idodoke.
 
Ndege kuanguka ikiwa agani hua sio kirahisi, ajali za hivo huwa chache sana unarza kuta 1 in 100, muda hatari sana huwa kutua na kupaa, ndege ikiwa juu inaendeshwa na computer zaidi ya 200. Rubani huwa hana kazi kubwa na huwa wanatia stori tu na kusoma magazeti
 
Ushawahi panda ndege kwanza Tuanzie hapo, si tulipigishwa misele masaa mawili kidogo angani huko.
Kulikua na hali mbaya ya hewa,Pia trafic ndege kibao ilikua tabu kutua
Heathrow airport au JFK airport ndege zinapanga msururu angani Yani mnafloat mko static hamuendi mbele Wala nyuma mnasubiri flight landing za waliotangulia ndio na nyie mnashuka ndege Zina maajabu mengi teknolojia ya autopilot ndio usiseme .....
 
Kote nshapita na misururu najua nishakaa hapo Heathrow nilikaa masaa matatu Qatar Airways tukisubiri foleni.
Tuliondoka na Captain akafidia muda njiani tukafika Doha late but at least not 3hrs.ilikua maybe 30 min nikaboard ndege ya bongo ontime
 
Heathrow airport au JFK airport ndege zinapanga msururu angani Yani mnafloat mko static hamuendi mbele Wala nyuma mnasubiri flight landing za waliotangulia ndio na nyie mnashuka ndege Zina maajabu mengi teknolojia ya autopilot ndio usiseme .....
Superbag

Acha uongo Kiongozi, Airport kubwa zina landing lanes nyingi ku accommodate more vessels ku land
Of course na njia za kurukia
 
Asante mkuu kwa kutuwakilisha
 
Vipi jirani yako nae hali yake ilikuwaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ulienda long call bhana
 
Aaahh mkuu hutaki hata kuangalia vituo vya mwendokasi kuangali a manzese buguruni au hata wale waleta vinywaji dirishani
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Kingsmann

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kuna huyu rubani wa bombadier tunatoka Mbeya tunarudi Dar aliachia kama sekunde 3 tu ikashuka chini.
Aisee kuna binti mmoja alinikumbatia kwa uoga na wakati huo mi mwenyewe kiroho kinadunda balaa.
Vipi mwisho wa safari hukuomba namba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…