Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

hiv mkigongana asubuh mchana na jioni mfululizo kwa wik moja utakuwa mtu kwel? kuhus utam kila mtu ana utamu wake sehem za siri zinatumika ili kufikia neva za kilele mapema..jiulize unapopiga punyeto utam huwa unatoka wapi?
 
Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara.

Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo ya afya ya uzazi kwa wanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika eneo la Tunguu, Zanzibar.

Dkt. Omar amebainisha kuwa wanaume wanaopenda kufanya ngono hufariki dunia mapema kwa sababu hutumia nguvu nyingi wanapofanya tendo la hilo, hali inayowasababisha kuishiwa nguvu kwenye miili yao.

Aidha, amesema kitaalamu mtu mmoja anatakiwa kufanya tendo la ndoa mara tatu ndani ya wiki moja ili kuuweka mwili sawa na kwamba anapofanya zaidi ya inavyoelekezwa hujiweka katika hatari.
Duh!

Hawa ma-dokta wanachanganya watu..
Kuna ma-dokta wanaosema mwanaume inabidi ushughulikie mbususu angalau mara 21 Kwa mwezi Ili kuepuka ugonjwa wa Tezi dume. Hawa husema ukiweza kuitafuna daily ni vizuri zaidi.

Huyu dokta Umukulthum anasema vingine. Ni kama anapigia debe Ile saumu ya mbususu (Nofap challenge)🥱
 
Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara.

Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo ya afya ya uzazi kwa wanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika eneo la Tunguu, Zanzibar.

Dkt. Omar amebainisha kuwa wanaume wanaopenda kufanya ngono hufariki dunia mapema kwa sababu hutumia nguvu nyingi wanapofanya tendo la hilo, hali inayowasababisha kuishiwa nguvu kwenye miili yao.

Aidha, amesema kitaalamu mtu mmoja anatakiwa kufanya tendo la ndoa mara tatu ndani ya wiki moja ili kuuweka mwili sawa na kwamba anapofanya zaidi ya inavyoelekezwa hujiweka katika hatari.

“Kufanya tendo la ndoa kila siku kunahatarisha afya ya mwili, hivyo ni vyema wanandoa kufanya kitendo hicho kwa kufuata utaalamu kutoka kwa wataalam wa afya na isiwe mnafanya jambo hilo kwa kukomoana,” ametahadharisha Dkt. Omar.
Tulio wengi hata hiyo mara 3 Kwa wiki haifiki,nazungumzia Wanaume.
 
na wale wenye wake wengi inakuwaje. Unakuta mtu ana wake wanne...
 
Huyo ana matatizo yake akipiga kimoja analala siku 2 ya tatu ndo anaamka ndo anatuletea utafiti wake hapa kasindwa kazi huyu 😀
 
Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara.

Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo ya afya ya uzazi kwa wanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika eneo la Tunguu, Zanzibar.

Dkt. Omar amebainisha kuwa wanaume wanaopenda kufanya ngono hufariki dunia mapema kwa sababu hutumia nguvu nyingi wanapofanya tendo la hilo, hali inayowasababisha kuishiwa nguvu kwenye miili yao.

Aidha, amesema kitaalamu mtu mmoja anatakiwa kufanya tendo la ndoa mara tatu ndani ya wiki moja ili kuuweka mwili sawa na kwamba anapofanya zaidi ya inavyoelekezwa hujiweka katika hatari.

“Kufanya tendo la ndoa kila siku kunahatarisha afya ya mwili, hivyo ni vyema wanandoa kufanya kitendo hicho kwa kufuata utaalamu kutoka kwa wataalam wa afya na isiwe mnafanya jambo hilo kwa kukomoana,” ametahadharisha Dkt. Omar.
Yeye anaweza?
Asitutisheee bwana
 
Back
Top Bottom