Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Tatu is fairly enough ikiwa kichwa chako kinawaza self growth. Huwezi kukua kama unaendekeza ngono zembe.Hauna uhalisia,, 3 ni chache kiukweli tena kwa wanaume wetu wa kiafrika😂😂😂
Ambao haziwatoshi ni wasio na majukumu wako free tu.