Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

Huo utafiti tumegoma
Si hata we umegoma eti msukuma?
Nimegoma kabisa aisee...

Babu yangu mzaa baba alikuwa na wake 8 na mpaka anafikisha miaka 80+ huko alikuwa anakula mzigo almost deile. Kinachoua watu mapema siku hizi ni ishu zingine tu - lishe duni tangu utoto, maisha ya kubweteka na utopolo mwingine ila siyo kufanya ngono sana. Huyu daktari itabidi aka-design upya utafiti wake!
 
Nimegoma kabisa aisee...

Babu yangu mzaa baba alikuwa na wake 8 na mpaka anafikisha miaka 80+ huko anakula mzigo almost deile. Kinachoua watu mapema siku hizi ni ishu zingine tu - lishe duni tangu utoto, maisha ya kubweteka na utopolo mwingine ila siyo kufanya ngono sana. Huyu daktari itabidi aka-design upya utafiti wake!

Huyo babu alinifaaa sana mim 🙆🏼‍♂️🙆🏼‍♂️
 
Back
Top Bottom