Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃Kwa huo utafiti sina muda mrefu wa kuishi duniani,kabla ya kutoka kwangu nachakata mbususu na kabla sijafika kazini napita kwa mchepuko wangu Tabata naloweka tena,Eeeh M/Mungu kwa utafiti huu nijaalie kifo chema😭😭
Yanaenda na umri mama...
Kama viungo vyaruhusu...vikomeshe tu.
Sio ugali huo.
Huyu daktari nae mbona chuplichupli.Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara.
Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo ya afya ya uzazi kwa wanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika eneo la Tunguu, Zanzibar.
Dkt. Omar amebainisha kuwa wanaume wanaopenda kufanya ngono hufariki dunia mapema kwa sababu hutumia nguvu nyingi wanapofanya tendo la hilo, hali inayowasababisha kuishiwa nguvu kwenye miili yao.
Aidha, amesema kitaalamu mtu mmoja anatakiwa kufanya tendo la ndoa mara tatu ndani ya wiki moja ili kuuweka mwili sawa na kwamba anapofanya zaidi ya inavyoelekezwa hujiweka katika hatari.
“Kufanya tendo la ndoa kila siku kunahatarisha afya ya mwili, hivyo ni vyema wanandoa kufanya kitendo hicho kwa kufuata utaalamu kutoka kwa wataalam wa afya na isiwe mnafanya jambo hilo kwa kukomoana,” ametahadharisha Dkt. Omar.
Kama kuna siku umemwaga madini leo umemwaga diamonds. Njoo nikuoe offer ya kinywaji utakachoHauna uhalisia,, 3 ni chache kiukweli tena kwa wanaume wetu wa kiafrika😂😂😂
Kha yaani usimguse mkeo mwezi mweee sasa umeoa ya nini?Kama bado mnapendana vizuri, sawa.
Ila makwazo yakianza hahahahahahaha mtalala hata mwezi hamjagusana nakwambia.
Haya sasa ndio maneno. Kugegedana daily ndio raha ya kuwa wawili wawiliYaan mwanaume unaempenda yupo pembeni yako Mmelala wote mnaamka wote kila mara mpo wote uwii ni kila siku mbona
Ushawahi kulala na mwanaume pembeni yako kwa miaka kumi mfululizo? Rahisi sana kuongea...Yaan mwanaume unaempenda yupo pembeni yako Mmelala wote mnaamka wote kila mara mpo wote uwii ni kila siku mbona
Kwa mwezi kiafya zaidi mala moja kwa mwaka iwe mala 12 zinawatosha..Wadada wamecharuka, ila daktari angesema hizo siku 3 ziwe raundi ngapi ili sisi wanaume tuzigawanye kwa wiki ✍️
😅😅😅 kuna kipindi wiki mbili zi apita aisee. Na kila kitu ndani kipo fresh utani mwingi ila hamna game, ile kukaa pamoja kiu inakataUshawahi kulala na mwanaume pembeni yako kwa miaka kumi mfululizo? Rahisi sana kuongea...
Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara.
Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo ya afya ya uzazi kwa wanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika eneo la Tunguu, Zanzibar.
Dkt. Omar amebainisha kuwa wanaume wanaopenda kufanya ngono hufariki dunia mapema kwa sababu hutumia nguvu nyingi wanapofanya tendo la hilo, hali inayowasababisha kuishiwa nguvu kwenye miili yao.
Aidha, amesema kitaalamu mtu mmoja anatakiwa kufanya tendo la ndoa mara tatu ndani ya wiki moja ili kuuweka mwili sawa na kwamba anapofanya zaidi ya inavyoelekezwa hujiweka katika hatari.
“Kufanya tendo la ndoa kila siku kunahatarisha afya ya mwili, hivyo ni vyema wanandoa kufanya kitendo hicho kwa kufuata utaalamu kutoka kwa wataalam wa afya na isiwe mnafanya jambo hilo kwa kukomoana,” ametahadharisha Dkt. Omar.
Ukitaka kujua nguvu zinaisha, maliza kupiga game kacheze kabumbu uwanjani.. au kapande mlima. Nakumbuka kuna siku nilikwamisha kazi, nilishindwa panda mlimani maana ilikuwa mikali, panda wa kwanza wa pili nikawagomea kati kati, unatetemeka magoti 😅😅😅Kwahio ni kwenye mapenzi tu mwanaume ndio anapoteza nguvu nyingi
Yaani acha kabisa mkuu, unashangaa wiki zinakata bila bila na upo vizuri tu!!😅😅😅 kuna kipindi wiki mbili zi apita aisee. Na kila kitu ndani kipo fresh utani mwingi ila hamna game, ile kukaa pamoja kiu inakata
Effect yake hata wiki mpira unakupita tobo tu 😆 hapo ni nguvu huna au viungo tu havina uroto ulee😁Ukitaka kujua nguvu zinaisha, maliza kupiga game kacheze kabumbu uwanjani.. au kapande mlima. Nakumbuka kuna siku nilikwamisha kazi, nilishindwa panda mlimani maana ilikuwa mikali, panda wa kwanza wa pili nikawagomea kati kati, unatetemeka magoti 😅😅😅
Itabidi nipunguze