Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

Yaani acha kabisa mkuu, unashangaa wiki zinakata bila bila na upo vizuri tu!!
Toka nimeingia kwenye ndoa, number imeshuka vibaya ya game, na hata nikifanya mala moja natosheka na kiu inakata kabisa unakuta tunakaa hata wiki. Na hapo kazi ya nje sijawai gusa toka nimezamia huko kiu hakuna tena.. ila kipindi nipo kisela ililuwa daily kwa mwezi nahisi inafika mala 20, bado najiuliza tofauti yake nini hapo au mzee kwa uzoefu wako unapata tafsiri gani
 
Atwambie hiyo mara tatu kwa kila tendo kilammoja vilele vingapi
 
Toka nimeingia kwenye ndoa, number imeshuka vibaya ya game, na hata nikifanya mala moja natosheka na kiu inakata kabisa unakuta tunakaa hata wiki. Na hapo kazi ya nje sijawai gusa toka nimezamia huko kiu hakuna tena.. ila kipindi nipo kisela ililuwa daily kwa mwezi nahisi inafika mala 20, bado najiuliza tofauti yake nini hapo au mzee kwa uzoefu wako unapata tafsiri gani

Umekinaiwa 😂😂😂 zaman ya mara moja inakuwa raha sasa mzigo Upo nao ndani uneshazoea halaf hamna mbinu mpya ya kufanya mkionana msisimke
Sasa humpi na wanawake tunavyopenda kupelekewa moto si utatombewa ndugu yangu
 
Hata mwanzo wa ndoa, hasa kabla ya kupata watoto mambo lazima yawe bambam, wakija ma-jr kazi inapungua exponentially 🤣🤣
 
Yale mambo yamaliza nguvu sana, watu tamaa za mwili, nimefanya tafiti zangu binafsi wanaume wanao ishi wenyewe na kukaa mbali na sex wamekuwa wanamaisha marefu zaidi hata afya zao huwa nzuri sana

Mbona wanasema kufanya sex inakufanya uwe kijana
 
Kuishi na same person mnapumuliana zaidi ya miaka mitano ni kazi sana mama!!

Ni kweli halaf hasafiri hata mmoja wenu uwiii kweli unakinaiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yale mambo yamaliza nguvu sana, watu tamaa za mwili, nimefanya tafiti zangu binafsi wanaume wanao ishi wenyewe na kukaa mbali na sex wamekuwa wanamaisha marefu zaidi hata afya zao huwa nzuri sana
Hivi mnavyosema bila sex unarefusha maisha mnakuwa na maana gani wakati mwisho wa mtu hakuna anayejua 😃 mzungu kafanikiwa kupandikiza hii mindest 😁
 
Nimegoma kabisa aisee...

Babu yangu mzaa baba alikuwa na wake 8 na mpaka anafikisha miaka 80+ huko alikuwa anakula mzigo almost deile. Kinachoua watu mapema siku hizi ni ishu zingine tu - lishe duni tangu utoto, maisha ya kubweteka na utopolo mwingine ila siyo kufanya ngono sana. Huyu daktari itabidi aka-design upya utafiti wake!

Utafiti hupingwa kwa utafiti.

Hiyo sample size yako sizani kama inatosha kuwakilisha wengi.
 
Umekinaiwa 😂😂😂 zaman ya mara moja inakuwa raha sasa mzigo Upo nao ndani uneshazoea halaf hamna mbinu mpya ya kufanya mkionana msisimke
Sasa humpi na wanawake tunavyopenda kupelekewa moto si utatombewa ndugu yangu
Hamna sio kukinaiwa, ingekuwa hivyo kazi za nje zingd husika. Ila imekuwa automatic, ile kuwa pamoja kunakuwa na amani ya ndani na furaha.. kugongewa inatokeaga tu
 
Hivi mnavyosema bila sex unarefusha maisha mnakuwa na maana gani wakati mwisho wa mtu hakuna anayejua 😃 mzungu kafanikiwa kupandikiza hii mindest 😁
Hapana mzee sio mindset, piga sana machine hata afya inadhoofu.. watu wanakondaga hadi upepo unawakusuma inabidi wasake balance ila walipo acha tu, hata afya ya mwili ikaanza rejea, hilo sio swala la mindset ni harisi.. ukizidisha kupita kiasi afya inadhoofu.. ndio maana nimekupa mfano piga hame kacheze mpira au kapande mlima
 
Back
Top Bottom