Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

Nahisi kuna kitu bado najifunza, kipindi cha nyuma nilikuwa na majukumu mengi sana na ndio kipindi nilikuwa moto kweli kweli.. huenda labda nimechoka, kuna jamaa yangu Extrovert hadi anashangaa navyokimbia mizigo ila sio zamani , nahisi nime expire😅😅😅

kuna sehemu nilitukana

😂😂😂😂😂😂 bora unajiepusha na mengi ila ndani peleka motooo
 
Ndio moto napeleka mala tatu kwa mwezi au mbili zatosha kiu yote kutoa sio yeye au mimi, na hivi wengine hatujui kukaa makwetu kutwa , unakaa nje ya kwako miezi mitatu ukirudi unakaa wiki unasepa.. ila haya mambo ukipata mtu mnaendana kimwili kiu inakata kabisa hata mkichapana mala moja au mbili.. ila kama hamja balance lazima mkiwashe sana.. mfano, ukipewa lita moja huku unahitaji lita tatu lazima urudie rudie mala kadhaa ili kiu ikate, ila kama ukapewa lita tatu kwa pamoja unatulia fresh
 
Nimekubali[emoji3]
Hongera[emoji23][emoji23][emoji23], ila pia alichoongea ni jambo la kweli sema ameongea kwakutisha watu na bila kutoa elimu ya undani kwanini hasa hicho kitu hutokea. Mtanzania ukimtisha au kuweka vitu superficial ndio hajali kabisa hilo jambo lako[emoji23][emoji23][emoji23], mimi nishuhuda.
 
Kwa makubaliano yenu sawa
 
😀 😀 😀
😅😅😅 nina hubiri huku mie mzee.. hata wana hapa wanashangaa wanaiona mie mshamba, cha ajabu machine zinakuja kasi sijui shetwani anazituma.. ila zinatoa boko, kwenye miti hakuna wajenzi ndio naiona hii kauli kweli.. Carleen pambaniene alafu kazidi kupendeza anashinda tu ndani na hivi kama kashombe ka mchongo 🤣🤣
Hahahahah hio kitu sio ya kuikosa
 
Hongera[emoji23][emoji23][emoji23], ila pia alichoongea ni jambo la kweli sema ameongea kwakutisha watu na bila kutoa elimu ya undani kwanini hasa hicho kitu hutokea. Mtanzania ukimtisha au kuweka vitu superficial ndio hajali kabisa hilo jambo lako[emoji23][emoji23][emoji23], mimi nishuhuda.
Kweli kabisa utueleweshe Sasa mdogowangu Ili niongee kabisa na shemeji Yako mapema 😂😂
 
Sijawahi ona mtu akielewa mtandaoni, yaani hata kwa dawa😂😂😂. Ukitaka kuelewa nenda kwa daktari akuelezee😂😂. Hata hivyo enjoy life, maisha yenyewe mafupi, yaani ujue something must kill a man😂😂😂 kama sio moyo basi hata kitu chenye ncha kali.
 
Back
Top Bottom