Daktari wa Magufuli akiwa Kiongozi na uhusika wake katika afya ya Rais

Vijiwe vya kahawa vinasema wanasiasa njaa walitumiwa kumtupia TOPE Mwamba baada ya kuona matokeo hasi ya nchi na kukwamisha mradi wa CON19 huku bajeti ya nchi tunakopa kwao.
 
Huwa sisahau miandiko ya vipenyo

Ahsante Mungu
 
Hahaha
 
Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?
Achana na huyo marehemu, Mungu alitusaidia kumuwahisha kiongozi katili na sadist. Bahati mbaya sana baadhi ya watu wenye roho mbaya kama yeye walimuona shujaa kisa kuporomosha uchumi wa waliokuwa juu ili waishi kama mashetani
 
Ningekuona umeanza kupona ule ugonjwa wako,kama leo ungemkubali jpm,ila kwa sababu wewe bado ni mgonjwa,huwezi mkubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…