Daktari wa Magufuli akiwa Kiongozi na uhusika wake katika afya ya Rais

Watu wanasema kuna ulinzi mkali ofisini kwa Prof. Janabi.
Watu wanauliza kwa nini ulinzi mkali namna hiyo wakati yule ni daktari tu?
Kwa hiyo yule sasa atapata cheo katika Chama ili wapate kisingizio cha kumlinda.

Jiridhishe kwanza unachosema, sio kuamini hearsay.
 
Ni unafiki mkubwa kujifanya kuhoji kifo Cha Magufuli, wakati akina Ben Saanane na Azory wanapotezwa au Lissu anapigwa Raisa mliwafanyia dhihaka kana kwamba hawastahili kuishi, mkimuona Magufuli Kama mtu atakaye ishi milele. Ila alipofariki mnaanza unafiki wa kujiuliza.

Kifo Cha Magufuli kilionesha picha halisi ya unafiki wa watanzania, na kwamba Kuna watu wanastahili kuishi na wengine hawastahili. Mtu anadai ukweli wa kifo Cha Magufuli lakini hapo hapo anadhihaki kuuawa kwa Ben Sanane. Tupunguze unafiki.
 
Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?
Kuna mwanamke anaitwa samia ..akisikia mada kama hizi tumbo linamuhuma na kutamani asitoke madarakani milele kwa hofu ya kesi ya uhaini
 
Kwahiyo unamprove wrong yule jamaa yenu anaitwa Tumia Akili?
 
Kamanda sasa kweli unataka tupangiane hata vitu vya kuhoji? Wewe ukihoji ben saanane au azory inakuwa vizuri nami nikihoji kifo cha mtani wangu Kila mtu anahoji mtu anayemfahamu. But pia mimi sijahoji kifo cha magufuli. Mbona nimeandika kitu kipo wazi kabisa.
 
Uzembe wa via vya wazazi wako walioshindwa kukubana kama last inya, sasa uko huku kuponda watu wazuri kipenzi cha Taifa
Haisaidii, lile jitu katili lilijifia lenyewe kizembe pamoja na chuki zake
 
Kuna mwanamke anaitwa samia ..akisikia mada kama hizi tumbo linamuhuma na kutamani asitoke madarakani milele kwa hofu ya kesi ya uhaini
Hiyo haisaidii kulirudisha tena lile shetani lenu la Chattle.
Hata ikijulikana Samia ndo alihusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…