Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

Labda kama ndo mara ya kwanza kucheat,tofauti na hapo hamna psycholojia yoyote
Umakini wako mkuu,wengi huwa wanaogopa matokeo baada ya kujua.
Ila Kama ni dalili wanaziona.
wengine washakubali kuchapiwa Tena wanaambiana fanya ila usinioneshe.
 
Mmmh hao wanakuwa wameanza au bado wanajifunza hayo. Wazoefu walaaaaa maisha kama kawaida. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
Hakuna uzoefu, ni kwamba mtu uliyenaye anakuwa amekubali matokeo.
 
Ndiyo maana ya utafiti, unachukua sampuli
 
Mwanamke wa kweli anayejua thanani ya mwanamke wa kweli HACHEPUKI.
 
Unatumia nguvu kubwa sana kujitetea kulikoni?
Heee!kumbe nilichoandika niutetezi?kama unafikilia apa najitetea basi endelea kutupilia mbali uteteziwangu uku ukingoja kuona dalili alizosema Dr.Na uwaonege wawenzio makahaba wanapoanza kujiongelesha kwawaume zao.
 
Hivi uyo dr.na wewe mpendwa unawafahamu vizuri wanawake??nyie!!Omba Mungu akupe mke mwenyehofu yaMungu na huruma kwamume la sivyo atachepuka apoapo kitandani kwako nawala hutoona dalili.Labda angefafanua na umri wauyo mwanamke.Yani 28yrs nakuendelea ajistukie?
 
Nisipokukuta mbinguni najua nimekosea njia.
Hongera ulimlinda binti yako kwa hekma zako.
Binafs kila nikiwaza kugongewa nahairisha kuoa ingawa maisha ya rafiki-mpenzi ya jinsia hizi mbili me na ke ni matam sana. Huyapa maisha thamani.
Bahat mbaya nimeshapitisha muda wa kuoa ningejarib kumuunda rafiki mpenzi!
 
Dr a
Utafiti huu japo hajasema, huenda ni uzoefu wake binafsi Dr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…