Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

Labda kama ndo mara ya kwanza kucheat,tofauti na hapo hamna psycholojia yoyote
Umakini wako mkuu,wengi huwa wanaogopa matokeo baada ya kujua.
Ila Kama ni dalili wanaziona.
wengine washakubali kuchapiwa Tena wanaambiana fanya ila usinioneshe.
 
Mmmh hao wanakuwa wameanza au bado wanajifunza hayo. Wazoefu walaaaaa maisha kama kawaida. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
Hakuna uzoefu, ni kwamba mtu uliyenaye anakuwa amekubali matokeo.
 
nawaongelea haohao wanawake yaani wake za watu, halafu huyo daktari wa mchongo anatakiwa ajifunze kuacha kugeneralize mambo, pia Hata kama mwanamke sio mzoefu kwenye kucheat bado anaweza kucheat kwa mara yakwanza kwenye ndoa naasikuonyeshe dalili zozote zitakazompelekea mumewe kumshtukia....
Ndiyo maana ya utafiti, unachukua sampuli
 
nawaongelea haohao wanawake yaani wake za watu, halafu huyo daktari wa mchongo anatakiwa ajifunze kuacha kugeneralize mambo, pia Hata kama mwanamke sio mzoefu kwenye kucheat bado anaweza kucheat kwa mara yakwanza kwenye ndoa naasikuonyeshe dalili zozote zitakazompelekea mumewe kumshtukia....
Mwanamke wa kweli anayejua thanani ya mwanamke wa kweli HACHEPUKI.
 
Unatumia nguvu kubwa sana kujitetea kulikoni?
Heee!kumbe nilichoandika niutetezi?kama unafikilia apa najitetea basi endelea kutupilia mbali uteteziwangu uku ukingoja kuona dalili alizosema Dr.Na uwaonege wawenzio makahaba wanapoanza kujiongelesha kwawaume zao.
 
Unaitaji kuwa na akili kujua anachokisema doctor kuhusu cheating psychology, ukiwa committed kwenye mahusiano yako utajitahidi sana kuwa makini na tabia kama cheating. Ikitokea mwanamke amecheat kuna vitu vitamkuta kama sense of guilty au regretion. Ukiwa makini utamgundua maana upendo utaongezeka, wengine hata tumbo linauma ukirudi nyumbani hupata mshutuko
Hivi uyo dr.na wewe mpendwa unawafahamu vizuri wanawake??nyie!!Omba Mungu akupe mke mwenyehofu yaMungu na huruma kwamume la sivyo atachepuka apoapo kitandani kwako nawala hutoona dalili.Labda angefafanua na umri wauyo mwanamke.Yani 28yrs nakuendelea ajistukie?
 
Mwanamke akisaliti unajua mkuu kama umemzoea...... mwaka 2015 nilikuwa na manzi mmoja kama siku3 nyuma alikuwa akipatikana kwa machale sana, alivyo jileta kwangu nilihisi kunq kitu maana alikuwa haongei ananiangalia sana kama ananionea huruma..... nikamuuliza kulikoni? Kimya nikachukua simu yake ile gafla lakini sikuifungua ndani kuona kuna nini, alikuwa mkali mpaka nikaona hii jau yani alifoka kitu ambacho sio kawaida, nijua akili yake ilipo nikamwambia nimekusamehe najua kila kitu ulichofanya na yule boya nilisikia bonge la yoe[emoji23][emoji23][emoji23] nikaja tayari kauza mechi na hapo nilikuwa nachombeza tu, alilia sana akashuka kwenye gari anataka aende barabara kubwa agongwe afe[emoji23][emoji23][emoji23] maana tulikuwa tunaongea kwenye gari!! Niliumia kwasababu nilijua nimepiga kwenye mshono, nilimruhusi aondoke kwenda kwake alivyofika ndo kaanza kuomba msamaha..... aisee nilikuwa nampenda yule dada ile sana yani lakini alinibamiza adi sio poa, mpka sasa ni washakji fresh tu kila mtu alishika njia yake,

Nilikuja kuoa baadae lakini kuna siku nampigia simu wife hapokei, nikiwa natoka town nikamuona kwenye gari ya staff mwenzie wakiume, nikapiga hapokei baadae anakuja kunicheki anasema alikuwa floor y juu na simu aliaacha chini charge wakati nimemuona town na msela kwenye gari ya jamaa na yeye wife gari yake kaacha officen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikajua kaliwa ile siku nilikuwa nasafiri sikusema kitu, nimerudi nikamwambia wewe ile siku nimekuona sehemu fulani alitoq macho alafu akawa mpole kama sio yule lakini nikamwambia nimekusamehe pia najua kila kitu alikaa kimya tuu hakujibu kitu wakati namjua ni mbishi, alibadilika sana akawa karibu na mimi kuliko kawaida, nilijua huyu anajistukia... ila nilipotezeaga ile issue kiume sana nilimuangalia binti yangu mdogo nikaona ngoja nivunge!!!! Ila mapenzi sio kuwa na pewa hawa watu yani kuwaelewa kwakweli ninkazi nyingine iyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unampa pesa nae anaenda kugawa pesa kwa bwana wake!!!!! Tumeambiwa tuishi nao kwaakili kwaiyo akili itumike zaidi kwenye kuishi na hawa viumbe usiamini mwanamke kw asilimia zote ishi nao kwa akili
Nisipokukuta mbinguni najua nimekosea njia.
Hongera ulimlinda binti yako kwa hekma zako.
Binafs kila nikiwaza kugongewa nahairisha kuoa ingawa maisha ya rafiki-mpenzi ya jinsia hizi mbili me na ke ni matam sana. Huyapa maisha thamani.
Bahat mbaya nimeshapitisha muda wa kuoa ningejarib kumuunda rafiki mpenzi!
 
Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity Xavier ametoa SIRI ya Kisaikolojia ya Usaliti wa Mwanamke.

"Mwanamke yoyote Akimsaliti ana Mpenzi au Mume wake hukosa Amani na Hujishtukia ndani ya Siku 92 na atakuwa anakuonyesha Upendo wa Ajabu, mkubwa huku muda mwingine akiwa anakuongelesha Mambo yasiyo na maana na ya Kitoto" amesema Daktari wa Saikolojia wa Radio One Kipindi cha Mazungumzo ya Familia Dk. Charity Xavier.

Mpaka hapa Dk. Charity Xavier ( Dokta wa Saikolojia Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ) ameshaniharibia Asubuhi yangu kwani kwa huu Ukweli wake wa Kiutaalam kuna Mtu namhisi kabisa kuwa Kanisaliti na huenda leo akawa yuko katika Siku ya 20 za Kujishtukia Kunisaliti na anasubiria Kuzimaliza hizo Siku 72 zilizobaki.

Wanawake tumewakoseeni nini nyie?
Dr a

Utafiti huu japo hajasema, huenda ni uzoefu wake binafsi Dr
 
Back
Top Bottom