Mwanamke akisaliti unajua mkuu kama umemzoea...... mwaka 2015 nilikuwa na manzi mmoja kama siku3 nyuma alikuwa akipatikana kwa machale sana, alivyo jileta kwangu nilihisi kunq kitu maana alikuwa haongei ananiangalia sana kama ananionea huruma..... nikamuuliza kulikoni? Kimya nikachukua simu yake ile gafla lakini sikuifungua ndani kuona kuna nini, alikuwa mkali mpaka nikaona hii jau yani alifoka kitu ambacho sio kawaida, nijua akili yake ilipo nikamwambia nimekusamehe najua kila kitu ulichofanya na yule boya nilisikia bonge la yoe[emoji23][emoji23][emoji23] nikaja tayari kauza mechi na hapo nilikuwa nachombeza tu, alilia sana akashuka kwenye gari anataka aende barabara kubwa agongwe afe[emoji23][emoji23][emoji23] maana tulikuwa tunaongea kwenye gari!! Niliumia kwasababu nilijua nimepiga kwenye mshono, nilimruhusi aondoke kwenda kwake alivyofika ndo kaanza kuomba msamaha..... aisee nilikuwa nampenda yule dada ile sana yani lakini alinibamiza adi sio poa, mpka sasa ni washakji fresh tu kila mtu alishika njia yake,
Nilikuja kuoa baadae lakini kuna siku nampigia simu wife hapokei, nikiwa natoka town nikamuona kwenye gari ya staff mwenzie wakiume, nikapiga hapokei baadae anakuja kunicheki anasema alikuwa floor y juu na simu aliaacha chini charge wakati nimemuona town na msela kwenye gari ya jamaa na yeye wife gari yake kaacha officen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikajua kaliwa ile siku nilikuwa nasafiri sikusema kitu, nimerudi nikamwambia wewe ile siku nimekuona sehemu fulani alitoq macho alafu akawa mpole kama sio yule lakini nikamwambia nimekusamehe pia najua kila kitu alikaa kimya tuu hakujibu kitu wakati namjua ni mbishi, alibadilika sana akawa karibu na mimi kuliko kawaida, nilijua huyu anajistukia... ila nilipotezeaga ile issue kiume sana nilimuangalia binti yangu mdogo nikaona ngoja nivunge!!!! Ila mapenzi sio kuwa na pewa hawa watu yani kuwaelewa kwakweli ninkazi nyingine iyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unampa pesa nae anaenda kugawa pesa kwa bwana wake!!!!! Tumeambiwa tuishi nao kwaakili kwaiyo akili itumike zaidi kwenye kuishi na hawa viumbe usiamini mwanamke kw asilimia zote ishi nao kwa akili