Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity Xavier ametoa SIRI ya Kisaikolojia ya Usaliti wa Mwanamke.

"Mwanamke yoyote Akimsaliti ana Mpenzi au Mume wake hukosa Amani na Hujishtukia ndani ya Siku 92 na atakuwa anakuonyesha Upendo wa Ajabu, mkubwa huku muda mwingine akiwa anakuongelesha Mambo yasiyo na maana na ya Kitoto" amesema Daktari wa Saikolojia wa Radio One Kipindi cha Mazungumzo ya Familia Dk. Charity Xavier.

Mpaka hapa Dk. Charity Xavier ( Dokta wa Saikolojia Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ) ameshaniharibia Asubuhi yangu kwani kwa huu Ukweli wake wa Kiutaalam kuna Mtu namhisi kabisa kuwa Kanisaliti na huenda leo akawa yuko katika Siku ya 20 za Kujishtukia Kunisaliti na anasubiria Kuzimaliza hizo Siku 72 zilizobaki.

Wanawake tumewakoseeni nini nyie?
 
Mchepuko wangu naona unanichekeachekea hovyo nikajua ni mbinu ya kutaka kunibomu mshiko wa birthday yake. Kumbe laanakum yule mjanja kambandua wiki tatu zilizopita...

Leo anaenda kupigwa Red card....
 
Kuna tofauti kati ya mwanamke na malaya. Wewe unamzungumzia malaya
nawaongelea haohao wanawake yaani wake za watu, halafu huyo daktari wa mchongo anatakiwa ajifunze kuacha kugeneralize mambo, pia Hata kama mwanamke sio mzoefu kwenye kucheat bado anaweza kucheat kwa mara yakwanza kwenye ndoa naasikuonyeshe dalili zozote zitakazompelekea mumewe kumshtukia....
 
Haswaaaa.. kaeleza vyema ila suala la generalization ndio kaingia miziki
 
nawaongelea haohao wanawake yaani wake za watu, halafu huyo daktari wa mchongo anatakiwa ajifunze kuacha kugeneralize mambo, pia Hata kama mwanamke sio mzoefu kwenye kucheat bado anaweza kucheat kwa mara yakwanza kwenye ndoa naasikuonyeshe dalili zozote zitakazompelekea mumewe kumshtukia....
Data zinapigwa kwa data bro usiite mtu doctor uchwara unaonekana hujalelewa vizuri au ni utoto wa intellectual arrogance. Kuna vitu ukifanya psychologically unafeel guilty kama cheating hivyo una ana adopt defence mechanism kucover madhaifu yake yasigundulike.
 
Iyo ni uongo!labda utafiti kafanya kwamkewe Tena uyomke nimsabato
Hatujui wanawake uyo,mwanamke anajichekesha anapohisi au kuona pesa tu,iwe mume au hawara nipesa tu ndo inatutoa akili nakuanza kuongea mambo yakitoto tofauti na apo bigNO
 
Alikosa chakuongea,labda angesema dharau zinazidi apo sawa,coz mwanamke hawezi kubalance shobo za upendo apo lazma kunammoja atamuweka moyoni mwingine atawekwa miguuni,ukute wamoyoni ndo hawala sasa!apo mume akiongea chochote anaonekana kama katuni tu,akitaka hakiyake yamsingi mpka apigane coz Hana mvuto tena
 
Iyo ni uongo!labda utafiti kafanya kwamkewe Tena uyomke nimsabato
Hatujui wanawake uyo,mwanamke anajichekesha anapohisi au kuona pesa tu,iwe mume au hawara nipesa tu ndo inatutoa akili nakuanza kuongea mambo yakitoto tofauti na apo bigNO
Unaitaji kuwa na akili kujua anachokisema doctor kuhusu cheating psychology, ukiwa committed kwenye mahusiano yako utajitahidi sana kuwa makini na tabia kama cheating. Ikitokea mwanamke amecheat kuna vitu vitamkuta kama sense of guilty au regretion. Ukiwa makini utamgundua maana upendo utaongezeka, wengine hata tumbo linauma ukirudi nyumbani hupata mshutuko
 
Data zinapigwa kwa data bro usiite mtu doctor uchwara unaonekana hujalelewa vizuri au ni utoto wa intellectual arrogance. Kuna vitu ukifanya psychologically unafeel guilty kama cheating hivyo una ana adopt defence mechanism kucover madhaifu yake yasigundulike.
kama data zinapingwa kwa data alete data kwanza sasa zakuprove kuwa wanawake wote wanareact zaidi ya mwezi mmoja the way anavyosema yeye wakicheat nasio kuongea maneno hewa yakuokotaokota....alafu sio kila wakati mtu anapokosea jambo lazma ajihisi amekosea,mda mwingine anaweza akakosea kufanya jambo nastill naakajihisi yupo sahihi kwa mtazamo wake
 
Wanawake wenyewe hawa kama marobot ajistukie kitu gani?

Huyo daktari arudi Chuo kuupdate ubongo wake, yuko nyuma ya muda sana.
 
Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity Xavier ametoa SIRI ya Kisaikolojia ya Usaliti wa Mwanamke.

"Mwanamke yoyote Akimsaliti ana Mpenzi au Mume wake hukosa Amani na Hujishtukia ndani ya Siku 92 na atakuwa anakuonyesha Upendo wa Ajabu, mkubwa huku muda mwingine akiwa anakuongelesha Mambo yasiyo na maana na ya Kitoto" amesema Daktari wa Saikolojia wa Radio One Kipindi cha Mazungumzo ya Familia Dk. Charity Xavier.

Mpaka hapa Dk. Charity Xavier ( Dokta wa Saikolojia Kipindi cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ) ameshaniharibia Asubuhi yangu kwani kwa huu Ukweli wake wa Kiutaalam kuna Mtu namhisi kabisa kuwa Kanisaliti na huenda leo akawa yuko katika Siku ya 20 za Kujishtukia Kunisaliti na anasubiria Kuzimaliza hizo Siku 72 zilizobaki.

Wanawake tumewakoseeni nini nyie?

Mwanamke akisaliti unajua mkuu kama umemzoea...... mwaka 2015 nilikuwa na manzi mmoja kama siku3 nyuma alikuwa akipatikana kwa machale sana, alivyo jileta kwangu nilihisi kunq kitu maana alikuwa haongei ananiangalia sana kama ananionea huruma..... nikamuuliza kulikoni? Kimya nikachukua simu yake ile gafla lakini sikuifungua ndani kuona kuna nini, alikuwa mkali mpaka nikaona hii jau yani alifoka kitu ambacho sio kawaida, nijua akili yake ilipo nikamwambia nimekusamehe najua kila kitu ulichofanya na yule boya nilisikia bonge la yoe[emoji23][emoji23][emoji23] nikaja tayari kauza mechi na hapo nilikuwa nachombeza tu, alilia sana akashuka kwenye gari anataka aende barabara kubwa agongwe afe[emoji23][emoji23][emoji23] maana tulikuwa tunaongea kwenye gari!! Niliumia kwasababu nilijua nimepiga kwenye mshono, nilimruhusi aondoke kwenda kwake alivyofika ndo kaanza kuomba msamaha..... aisee nilikuwa nampenda yule dada ile sana yani lakini alinibamiza adi sio poa, mpka sasa ni washakji fresh tu kila mtu alishika njia yake,

Nilikuja kuoa baadae lakini kuna siku nampigia simu wife hapokei, nikiwa natoka town nikamuona kwenye gari ya staff mwenzie wakiume, nikapiga hapokei baadae anakuja kunicheki anasema alikuwa floor y juu na simu aliaacha chini charge wakati nimemuona town na msela kwenye gari ya jamaa na yeye wife gari yake kaacha officen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikajua kaliwa ile siku nilikuwa nasafiri sikusema kitu, nimerudi nikamwambia wewe ile siku nimekuona sehemu fulani alitoq macho alafu akawa mpole kama sio yule lakini nikamwambia nimekusamehe pia najua kila kitu alikaa kimya tuu hakujibu kitu wakati namjua ni mbishi, alibadilika sana akawa karibu na mimi kuliko kawaida, nilijua huyu anajistukia... ila nilipotezeaga ile issue kiume sana nilimuangalia binti yangu mdogo nikaona ngoja nivunge!!!! Ila mapenzi sio kuwa na pewa hawa watu yani kuwaelewa kwakweli ninkazi nyingine iyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unampa pesa nae anaenda kugawa pesa kwa bwana wake!!!!! Tumeambiwa tuishi nao kwaakili kwaiyo akili itumike zaidi kwenye kuishi na hawa viumbe usiamini mwanamke kw asilimia zote ishi nao kwa akili
 
Mchepuko wangu naona unanichekeachekea hovyo nikajua ni mbinu ya kutaka kunibomu mshiko wa birthday yake. Kumbe laanakum yule mjanja kambandua wiki tatu zilizopita...

Leo anaenda kupigwa Red card....
Nimecheka mno Mkuu. Msamehe bhana.
 
Back
Top Bottom